Ripoti ya 1 Kuhusu Mradi wa Warwick CHEZA Ripoti ya 1 Kuhusu Mradi wa Warwick Ujenzi wa makao makuu ya ulimwenguni pote ya Mashahidi wa Yehova ungali unaendelea. Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Huenda Ukapenda Pia MIRADI YA UJENZI Awamu ya 1 ya Picha za Warwick (Mei Hadi Agosti 2014) Tazama jinsi kazi ya ujenzi katika Jengo la Udumishaji wa Magari, Jengo la Ofisi za Usimamizi/Huduma, Majengo ya Makazi C na D. MIRADI YA UJENZI Awamu ya 2 ya Picha za Warwick (Septemba Hadi Desemba 2014) Ujenzi wa makao makuu mapya ya Mashahidi wa Yehova unaendelea. Katika pindi fulani, kreni 13 zilitumika kwa wakati mmoja! MIRADI YA UJENZI Awamu ya 3 ya Picha za Warwick (Januari Hadi Aprili 2015) Kufikia Februari, watu 2,500 walifanya kazi kila siku katika mradi wa ujenzi wa Warwick, na wajitoleaji 500 hivi wa muda waliwasili kila juma. Jionee maendeleo ya ujenzi huo. MIRADI YA UJENZI Ripoti ya 2 Kuhusu Warwick Wajitoleaji kutoka sehemu mbalimbali wakifanya kazi pamoja ya kujenga makao makuu mapya ya ulimwenguni pote ya Mashahidi wa Yehova. Chapa Shiriki Shiriki Ripoti ya 1 Kuhusu Mradi wa Warwick MIRADI YA UJENZI Ripoti ya 1 Kuhusu Mradi wa Warwick Kiswahili Ripoti ya 1 Kuhusu Mradi wa Warwick https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/502014144/univ/art/502014144_univ_sqr_xl.jpg