JW LIBRARY
Njia Rahisi za Kucheza Media
Kwa kawaida unaweza kucheza video na rekodi za sauti kwa kugusa alama husika kwenye skrini yako. Pia, unaweza kutumia ishara au vifupisho vya kibodi. (Inapohusu rekodi za sauti ni muhimu kukuza ukurasa wake ili kutumia ishara.)
Ishara za Kugusa
Kwenye tablet au simu janja, tumia ishara zifuatazo:
Kusudi |
Ishara |
---|---|
Cheza au Simamisha |
Gusa kwa kutumia vidole 2 |
Rudi nyuma sekunde 5 |
Gusa mara mbili upande wa kushoto |
Songa mbele sekunde 15 |
Gusa mara mbili upande wa kulia |
Media iliyotangulia |
Telezesha kidole kuelekea kulia |
Media inayofuata |
Telezesha kidole kuelekea kushoto |
Kuongeza kasi |
Telezesha kidole kuelekea juu |
Kupunguza kasi |
Telezesha kidole kuelekea chini |
Vifupisho vya Kibodi
Kwenye vifaa vinavyotumia kibodi, fuata maelezo ili kujua ni vitufe vipi vitakavyokusaidia kucheza media:
Kusudi |
Windows |
macOS |
---|---|---|
Cheza au Simamisha |
Kitufe cha nafasi |
Kitufe cha nafasi |
Rudi nyuma sekunde 5 |
Mshale wa Kushoto |
Mshale wa Kushoto |
Songa mbele sekunde 15 |
Mshale wa Kulia |
Mshale wa Kulia |
Media iliyotangulia |
Ctrl+Mshale wa kushoto |
Command-Mshale wa Kushoto |
Media inayofuata |
Ctrl+Mshale wa Kulia |
Command-Mshale wa Kulia |
Kuongeza sauti |
Mshale wa Juu |
Mshale wa Juu |
Kupunguza sauti |
Mshale wa Chini |
Mshale wa Chini |
Ongeza kasi |
Ctrl+Mshale wa Juu |
Command-Mshale wa Juu |
Punguza kasi |
Ctrl+Mshale wa Chini |
Command-Mshale wa Chini |
Funga media |
Esc |
Esc |
Kurudia video iliyotangulia |
Pg Up |
Fn-Mshale wa Juu |
Orodha inayofuata |
Pg Dn |
Fn-Mshale wa Chini |