JW LIBRARY SIGN LANGUAGE
Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi—JW Library Sign Language
JW Library Sign Language inapatikana kwenye vifaa vifuatavyo:
Android
Vifaa vya Android (tablet na simu) zenye toleo la 4.4 au la hivi karibuni zaidi
Kindle Fire HD tablet zenye Fire OS toleo la 4.6.6.1 au la karibuni zaidi
iOS
iPad 4 na zinazofuata (yenye iOS 10.0 au ya karibuni zaidi)
iPhone 5 na zinazofuata (yenye iOS 10.0 au ya karibuni zaidi)
iPod touch 6th generation (yenye iOS 10.0 au ya karibuni zaidi)
Windows
Tablet, kompyuta, na simu zenye Windows 10 (Version 1709, OS Build 16299) au ya karibuni zaidi
Unapopakua chapisho, programu ya JW Library Sign Language inapakua ukurasa wa Yaliyomo, yenye vichwa vya kila sura na picha zake.
Bofya kitufe cha Pakua, kilichopo mwanzoni mwa ukurasa wa programu ili kupakua video zote za chapisho hilo, au bofya kitufe cha Pakua kilichopo pembeni ya video unayotaka.
Rafiki ambaye amewahi kutumia JW Library Sign Language anaweza kukusaidia kutatua tatizo lako. Ikiwa atashindwa, tafadhali piga simu kwenye ofisi ya tawi iliyo karibu nawe.