Vidakuzi na Teknolojia Sawa Zinazotumiwa na Tovuti Zetu Mbalimbali
Kuna aina mbalimbali za vidakuzi vinavyofanya kazi mbalimbali na kuboresha matumizi yako katika tovuti zetu. Ifuatayo ni mifano kadhaa ya jinsi tunavyotumia vidakuzi na teknolojia sawa katika tovuti zetu.
Kukubali Ujumbe wa Kisheria na Vidakuzi
Vidakuzi hivi vinatuonyesha ikiwa umekubaliana na ujumbe wowote wa kisheria ambao ulijitokeza au ikiwa umekubali kutumia vidakuzi vinavyopatikana katika tovuti yetu.
Jina la Kidakuzi |
Kusudi |
Muda a |
Aina |
---|---|---|---|
cookieConsent-${type} |
Kinamwezesha mtu kukubali au kukataa kutumia aina fulani za vidakuzi. |
Mwaka 1 |
Muhimu Sana |
Mgawanyo wa Taarifa
Vidakuzi hivi vinatusaidia kuwawezesha watumiaji kutumia taarifa zilizomo kwenye tovuti zetu kwa njia bora na salama.
Jina la Kidakuzi |
Kusudi |
Muda b |
Aina |
---|---|---|---|
ak_bmsc, bm_sv, bm_mi |
Kinatusaidia kulinda tovuti dhidi ya watumiaji ambao wanasababisha madhara. |
Saa 2 |
Muhimu Sana |
Kidakuzi cha Mtu wa Tatu
Vidakuzi vya mtu wa tatu vinawaruhusu watumiaji kutumia huduma za mtu wa tatu ambazo zimejumuishwa ndani ya tovuti zetu.
Jina la Kidakuzi |
Kusudi |
Muda c |
Aina |
Kidakuzi Kimewekwa Na |
---|---|---|---|---|
APISID, HSID, NID, S, SAPISID, SID, SSID, _ga |
Kinamruhusu mtumiaji kutumia ramani za Google maps. Vilevile, vidakuzi hivi vinahitajiwa na reCAPTCHA, yaani, bidhaa ya Google ambayo lazima mtu atumie anapotengeneza akaunti, anapotoa mchango bila kutajwa jina, au anapoomba funzo la Biblia. |
Aina mbalimbali, mpaka miaka 2 |
Muhimu Sana |
a Habari zinapotajwa kuwa za “Muda Mrefu (kwenye kifaa)”, hilo linamaanisha zinahifadhiwa katika kivinjari badala ya kuhifadhiwa kama kidakuzi. Habari zinazohifadhiwa katika njia hiyo zinabaki kwa muda wote isipokuwa mtumiaji afute habari kwenye kivinjari chake.
b Habari zinapotajwa kuwa za “Muda Mrefu (kwenye kifaa)”, hilo linamaanisha zinahifadhiwa katika kivinjari badala ya kuhifadhiwa kama kidakuzi. Habari zinazohifadhiwa katika njia hiyo zinabaki kwa muda wote isipokuwa mtumiaji afute habari kwenye kivinjari chake.
c Habari zinapotajwa kuwa za “Muda Mrefu (kwenye kifaa)”, hilo linamaanisha zinahifadhiwa katika kivinjari badala ya kuhifadhiwa kama kidakuzi. Habari zinazohifadhiwa katika njia hiyo zinabaki kwa muda wote isipokuwa mtumiaji afute habari kwenye kivinjari chake.