Habari Njema Kulingana na Luka
Sura
Habari Zenye Kuwa Ndani
-
-
Yesu ni “Bwana wa Sabato” (1-5)
-
Mutu mwenye mukono wenye kukauka anaponyeshwa (6-11)
-
Mitume kumi na mbili (12-16)
-
Yesu anafundisha na kuponyesha (17-19)
-
Furaha na ole (20-26)
-
Kupenda maadui (27-36)
-
Muache kuhukumu (37-42)
-
Muti unajulikana kwa matunda yake (43-45)
-
Nyumba yenye ilijengwa muzuri; nyumba yenye haina musingi wenye nguvu (46-49)
-
-
-
Wanamuke wenye walimufuata Yesu (1-3)
-
Mufano wa mupandaji (4-8)
-
Sababu gani Yesu alitumia mifano (9, 10)
-
Mufano wa mupandaji unafasiriwa (11-15)
-
Taa haipaswe kufunikwa (16-18)
-
Mama na ndugu za Yesu (19-21)
-
Yesu anatuliza zoruba (22-25)
-
Yesu anatuma pepo wachafu waingie ndani ya nguruwe (26-39)
-
Binti ya Yairo; mwanamuke fulani anagusa nguo za inje za Yesu (40-56)
-
-
-
Wale Kumi na Mbili wanapewa maagizo juu ya utumishi (1-6)
-
Herode anavurugika juu ya Yesu (7-9)
-
Yesu anakulisha wanaume elfu tano (10-17)
-
Petro anatambua Kristo (18-20)
-
Kifo cha Yesu kinatabiriwa (21, 22)
-
Mambo ya kufanya ili kuwa mwanafunzi wa kweli (23-27)
-
Yesu anageuzwa sura (28-36)
-
Kijana mwanaume mwenye pepo muchafu anaponyeshwa (37-43a)
-
Kifo cha Yesu kinatabiriwa tena (43b-45)
-
Wanafunzi wanabishana juu ya ukubwa (46-48)
-
Kila mutu mwenye hatupinge iko upande wetu (49, 50)
-
(51-56)
Yesu anakataliwa katika kijiji kimoja cha Wasamaria -
Namna ya kumufuata Yesu (57-62)
-
-
-
Chachu ya Wafarisayo (1-3)
-
Mumuogope Mungu, hapana wanadamu (4-7)
-
Kukubali umoja na Kristo (8-12)
-
Mufano wa tajiri mupumbavu (13-21)
-
Muache kuhangaika (22-34)
-
Kundi ndogo (32)
-
-
Kukesha (35-40)
-
Musimamizi-nyumba muaminifu na musimamizi-nyumba mwenye haiko muaminifu (41-48)
-
Hapana amani, lakini mugawanyiko (49-53)
-
Ulazima wa kuchunguza wakati (54-56)
-
Kuelewana (57-59)
-
-
-
Kutubu ao kuharibiwa (1-5)
-
Mufano wa muti wa tini wenye hauzae matunda (6-9)
-
Mwanamuke mulemavu anaponyeshwa siku ya Sabato (10-17)
-
Mufano wa mbegu ya haradali na wa chachu (18-21)
-
Inaomba kujikaza ili kuingia kupitia mulango mwembamba (22-30)
-
Herode, “ule mbweha” (31-33)
-
Yesu anaomboleza juu ya Yerusalemu (34, 35)
-
-
-
Makuhani wanafanya mupango wa kumuua Yesu (1-6)
-
Matayarisho ya Pasaka ya mwisho (7-13)
-
Chakula cha Mangaribi cha Bwana kinaanzishwa (14-20)
-
‘Mutu mwenye kunisaliti iko pamoja na mimi kwenye meza’ (21-23)
-
Mabishano makali juu ya ukubwa (24-27)
-
Yesu anafanya agano kwa ajili ya ufalme (28-30)
-
Yesu anatabiri kama Petro atamukana (31-34)
-
Ulazima wa kuwa tayari; panga mbili (35-38)
-
Sala ya Yesu kwenye Mulima wa Mizeituni (39-46)
-
Yesu anakamatwa (47-53)
-
Petro anamukana Yesu (54-62)
-
Yesu anachekelewa (63-65)
-
Yesu anasamba mbele ya Sanhedrini (66-71)
-