Nehemia Alipenda Ibada ya Kweli
455 M.K.Y.
-
Nisani (Mwezi wa 3/ Mwezi wa 4)
2:4-6 Nehemia anaomba ruhusa ya kujenga upya Yerusalemu, mahali pa kufanyia ibada ya kweli katika siku zake
-
Iyari
-
Sivani
-
Tamuzi (Mwezi wa 6/Mwezi wa 7)
-
Abi (Mwezi wa 7/Mwezi wa 8)
3:1; 4:7-9 Kazi ya kujenga inaanza hata kama kulikuwa wapinzani
-
Eluli (Mwezi wa 8/Mwezi wa 9)
-
Tishri
2:11-15 Nehemia anafika Yerusalemu wakati huu na anachunguza ukuta wa muji
6:15 Kisha siku 52, ukuta ulimalizika