‘Tujiendeshe kwa Njia Yenye Inastahili Habari Njema’
Asubui
-
3:40 (9:40) Muziki
-
3:50 (9:50) Wimbo Na. 35 na Sala
-
4:00 (10:00) Habari Njema Iko Nakubadilisha Namna Gani?
-
4:15 (10:15) Hotuba Yenye Sehemu Ine: Namna Habari Njema Iliongoza Maisha Yao
-
• Stefano
-
• Filipo
-
• Akila na Prisila
-
• Tito
-
-
5:05 (11:05) Wimbo Na. 76 na Matangazo
-
5:15 (11:15) Muendelee Katika ‘Matendo ya Ushikamanifu kwa Mungu’
-
5:35 (11:35) Hotuba ya Ubatizo: Muendelee ‘Kujitiisha kwa Habari Njema’
-
6:05 (12:05) Wimbo Na. 37
Kisha Midi
-
7:20 (13:20) Muziki
-
7:30 (13:30) Wimbo Na. 56 na Sala
-
7:35 (13:35) Hotuba ya Watu Wote: Juu ya Nini Unaamini Mambo Yenye Unaamini?
-
8:05 (14:05) Kifupi ya Munara wa Mulinzi
-
8:35 (14:35) Wimbo Na. 24 na Matangazo
-
8:45 (14:45) Hotuba Yenye Sehemu Tatu: “Tunajipendekeza Sisi Wenyewe Kuwa Watumishi wa Mungu, kwa . . . ”
-
• Kuvumilia
-
• Fazili
-
• Unyoofu
-
-
9:30 (15:30) Namna Gani Uko Nazoezwa?
-
10:00 (16:00) Wimbo Na. 29 na Sala