Siku ya Tano
“Utupatie imani zaidi”—Luka 17:5
ASUBUI
-
3:20 (9:20) Video ya Muziki
-
3:30 (9:30) Wimbo Na. 5 na Sala
-
3:40 (9:40) HOTUBA YA MWENYEKITI: Imani Iko na Nguvu Gani? (Matayo 17:19, 20; Waebrania 11:1)
-
4:10 (10:10) HOTUBA YENYE SEHEMU INE: Juu ya Nini Tunaamini Kama . . .
-
• Mungu Iko (Waefeso 2:1, 12; Waebrania 11:3)
-
• Biblia Ni Neno ya Mungu (Isaya 46:10)
-
• Kanuni za Mungu Ziko na Faida (Isaya 48:17)
-
• Mungu Anatupenda (Yohana 6:44)
-
-
5:05 (11:05) Wimbo Na. 37 na Matangazo
-
5:15 (11:15) USOMAJI WA BIBLIA WENYE KUCHEZWA: Noa—Imani Ilimuchochea Atii (Mwanzo 6:1–8:22; 9:8-16)
-
5:45 (11:45) ‘Mukuwe na Imani, Musikuwe na Mashaka’ (Matayo 21:21, 22)
-
6:15 (12:15) Wimbo Na. 118 na Mapumuziko
KISHA MIDI
-
7:35 (13:35) Video ya Muziki
-
7:45 (13:45) Wimbo Na. 2
-
7:50 (13:50) HOTUBA YENYE SEHEMU SITA: Fanya Imani Yako Ikuwe Nguvu kwa Kufikiri Sana Juu ya . . .
-
• Nyota (Isaya 40:26)
-
• Bahari (Zaburi 93:4)
-
• Mapori (Zaburi 37:10, 11, 29)
-
• Upepo na Maji (Zaburi 147:17, 18)
-
• Viumbe Vyenye Kuwa Katika Bahari (Zaburi 104:27, 28)
-
• Mwili Wetu (Isaya 33:24)
-
-
8:50 (14:50) Wimbo Na. 148 na Matangazo
-
9:00 (15:00) Matendo ya Yehova Yenye Nguvu Inatusaidia Kuwa na Imani (Isaya 43:10; Waebrania 11:32-35)
-
9:20 (15:20) HOTUBA YENYE SEHEMU TANO: Iga Wenye Walikuwa na Imani, Hapana Wenye Hawakukuwa Nayo
-
• Abeli, Hapana Kaini (Waebrania 11:4)
-
• Enoko, Hapana Lameki (Waebrania 11:5)
-
• Noa, Hapana Majirani Wake (Waebrania 11:7)
-
• Musa, Hapana Farao (Waebrania 11:24-26)
-
• Wanafunzi wa Yesu, Hapana Wafarisayo (Matendo 5:29)
-
-
10:15 (16:15) Namna Gani Tunaweza ‘Kuendelea Kujijaribu Juu ya Kuona Kama Tuko Katika Imaniʼ? (2 Wakorinto 13:5, 11)
-
10:50 (16:50) Wimbo Na. 119 na Sala ya Mwisho