Marafiki wa Amani
ASUBUI
-
3:40 (9:40) Muziki
-
3:50 (9:50) Wimbo Na. 58 na Sala
-
4:00 (10:00) Karibu, Marafiki wa Amani!
-
4:15 (10:15) Endelea Kutafuta Marafiki wa Amani
-
4:30 (10:30) Muache Mukubwa wa Amani Awasaidie Kupata Marafiki wa Amani
-
4:55 (10:55) Wimbo Na. 103 na Matangazo
-
5:05 (11:05) Marafiki wa Amani Hawajifunze Vita Tena
-
5:35 (11:35) Hotuba ya Ubatizo
-
6:05 (12:05) Wimbo Na. 79
KISHA MIDI
-
7:20 (13:20) Wimbo
-
7:30 (13:30) Wimbo Na. 76
-
7:35 (13:35) Mambo Yenye Wahubiri Walikutana Nayo
-
7:45 (13:45) Kifupi ya Munara wa Mulinzi
-
8:15 (14:15) Hotuba Yenye Sehemu Tatu: Marafiki wa Amani Wanasaidianaka
-
• “Mufungue Mioyo Yenu Wazi”
-
• Musaidie Vijana Watumie Muzuri Uwezo Wao
-
• Muheshimie Ndugu na Dada Wenye Kuzeeka
-
-
3:00 (15:00) Wimbo Na. 57 na Matangazo
-
3:10 (15:10) Namna Gani Marafiki wa Amani Wanashinda Uovu kwa Wema
-
3:55 (15:55) Wimbo Na. 45 na Sala