Usiache Hata Kidogo Kufanya Mema!
ASUBUI
-
3:30 (9:30) Muziki
-
3:40 (9:40) Wimbo Na. 143 na Sala
-
3:50 (9:50) Sababu Gani Ni Vigumu Kufanya Mema?
-
4:05 (10:05) Hotuba Yenye Sehemu Ine: Epuka Kupanda kwa Mwili
-
Tumia kwa Hekima Vituo vya Kupashana Habari
-
Ujifurahishe kwa Njia Yenye Kufaa
-
Ondoa Mwelekeo wa Kuona Wivu
-
Ujitoe Sana Kwa Ajili ya Wakati Unaokuja Wenye Kuwa Salama
-
-
5:05 (11:05) Wimbo Na. 57 na Matangazo
-
5:15 (11:15) Endelea Kuwatendea Wote Mema
-
5:30 (11:30) Hotuba ya Ubatizo
-
6:00 (12:00) Wimbo Na. 31
KISHA MIDI
-
7:10 (13:10) Muziki
-
7:20 (13:20) Wimbo Na. 61 na Sala
-
7:30 (13:30) Hotuba ya Watu Wote: Epuka Kumuzihaki Mungu—Katika Maana Gani?
-
8:00 (14:00) Kifupi cha Munara wa Mulinzi
-
8:30 (14:30) Wimbo Na. 104 na Matangazo
-
8:40 (14:40) Hotuba Yenye Sehemu Tatu: Endelea Kupanda kwa Roho
-
Ukomalishe Mazoea Mazuri ya Kujifunza
-
Tumia Kanuni za Biblia ili Kuongoza Maisha Yako
-
‘Usiache Mukono Wako Upumuzike’
-
-
9:40 (15:40) Kile Tutavuna Kama Hatuchoke Kabisa
-
10:15 (16:15) Wimbo Na. 43 na Sala