Siku ya Posho
“MUENDELEE KUTEMBEA KATIKA UPENDO”—WAEFESO 5:2
ASUBUI
-
3:20 (9:20) Video ya Muziki
-
3:30 (9:30) Wimbo Na. 85 na Sala
-
3:40 (9:40) HOTUBA YENYE SEHEMU TANO: Onyesha Upendo wa Kweli Katika Kutaniko
-
Kwa Wale Wenye Wanaongoza (1 Watesalonike 5:12, 13)
-
Kwa Wajane na Watoto Wenye Hawana Baba (Yakobo 1:27)
-
Kwa Wale Wenye Kuzeeka (Mambo ya Walawi 19:32)
-
Kwa Watumishi wa Wakati Wote (1 Watesalonike 1:3)
-
Kwa Wakaaji Wageni (Mambo ya Walawi 19:34; Waroma 15:7)
-
-
4:50 (10:50) Wimbo Na. 58 na Matangazo
-
5:00 (11:00) HOTUBA YENYE SEHEMU TATU: Onyesha Upendo wa Kweli Katika Mahubiri
-
Onyesha Kama Unamupenda Mungu (1 Yohana 5:3)
-
‘Penda Jirani Yako Kama Wewe Mwenyewe’ (Matayo 22:39)
-
Penda Neno la Yehova (Zaburi 119:97; Matayo 13:52)
-
-
5:45 (11:45) HOTUBA YA UBATIZO: Ujifunze Kuonyesha Upendo kwa Kumuiga Yesu (Matayo 11:28-30)
-
6:15 (12:15) Wimbo Na. 52 na Mapumuziko
KISHA MIDI
-
7:35 (13:35) Video ya Muziki
-
7:45 (13:45) Wimbo Na. 84
-
7:50 (13:50) HOTUBA YENYE SEHEMU SITA: Namna Ndugu Zetu Wako Wanaonyesha Upendo wa Kweli . . .
-
Katika Afrika (Mwanzo 16:13)
-
Katika Asia (Matendo 2:44)
-
Katika Ulaya (Yohana 4:35)
-
Katika Amerika ya Kaskazini (1 Wakorinto 9:22)
-
Katika Oceania (Zaburi 35:18)
-
Katika Amerika ya Kusini (Matendo 1:8)
-
-
8:55 (14:55) HOTUBA YENYE SEHEMU TATU: Onyesha Upendo wa Kweli Katika Familia Yako
-
Umupende Bibi Yako (Waefeso 5:28, 29)
-
Umupende Bwana Yako (Waefeso 5:33; 1 Petro 3:1-6)
-
Upende Watoto Wako (Tito 2:4)
-
-
9:35 (15:35) Wimbo Na. 35 na Matangazo
-
9:45 (15:45) FILME: Hadisi ya Yosia: Penda Yehova; Chukia Mambo ya Mubaya—Sehemu ya 1 (2 Mambo ya Nyakati 33:10-24; 34:1, 2)
-
10:15 (16:15) Fundisha Watoto Wako Namna ya Kuonyesha Upendo (2 Timoteo 3:14, 15)
-
10:50 (16:50) Wimbo Na. 134 na Sala ya Mwisho