Siku ya Posho
‘Kuonyesha uhodari mwingi wa kusema neno la Mungu bila woga’—WAFILIPI 1:14
ASUBUI
-
3:20 (9:20) Video ya Muziki
-
3:30 (9:30) Wimbo Na. 76 na Sala
-
3:40 (9:40) HOTUBA YENYE SEHEMU MUNANE: Ukuwe Hodari . . .
-
Mwanafunzi wa Biblia (Matendo 8:35, 36; 13:48)
-
Kijana (Zaburi 71:5; Methali 2:11)
-
Muhubiri (1 Wathesalonike 2:2)
-
Bibi ao Bwana (Waefeso 4:26, 27)
-
Muzazi (1 Samweli 17:55)
-
Painia (1 Wafalme 17:6-8, 12, 16)
-
Muzee wa Kutaniko (Matendo 20:28-30)
-
Ndugu ao Dada Mwenye Kuzeeka (Danieli 6:10, 11; 12:13)
-
-
4:50 (10:50) Wimbo Na. 119 na Matangazo
-
5:00 (11:00) HOTUBA YENYE SEHEMU TANO: Uige Watu Wenye Uhodari, Hapana Waoga!
-
Yoshua na Kalebu, Hapana Wale Wakubwa Kumi (Hesabu 14:7-9)
-
Yaeli, Hapana Wakaaji wa Merozi (Waamuzi 5:23)
-
Mikaya, Hapana Manabii wa Uongo (1 Wafalme 22:14)
-
Yeremia, Hapana Uriya (Yeremia 26:21-23)
-
Paulo, Hapana Ule Mutawala Kijana Tajiri (Marko 10:21, 22)
-
-
5:45 (11:45) HOTUBA YA UBATIZO: “Hatuko Namna ya Watu Wenye Wanarudia Nyuma”! (Waebrania 10:35, 36, 39; 11:30, 32-34, 36; 1 Petro 5:10)
-
6:15 (12:15) Wimbo Na. 38 na Mapumuziko
KISHA MIDI
-
7:35 (13:35) Video ya Muziki
-
7:45 (13:45) Wimbo Na. 111
-
7:50 (13:50) HOTUBA YENYE SEHEMU TANO: Ujifunze Uhodari Kupitia Uumbaji
-
Simba (Mika 5:8)
-
Farasi (Ayubu 39:19-25)
-
Munyama Mwenye Kuitwa Nguchiro (Zaburi 91:3, 13-15)
-
Ndege Wavumaji (1 Petro 3:15)
-
Tembo (Methali 17:17)
-
-
8:40 (14:40) Wimbo Na. 60 na Matangazo
-
8:50 (14:50) HOTUBA YENYE SEHEMU SITA: Namna Ndugu Zetu Wanaonyesha Uhodari . . .
-
Katika Afrika (Mathayo 10:36-39)
-
Katika Asia (Zekaria 2:8)
-
Katika Ulaya (Ufunuo 2:10)
-
Katika Amerika ya Kaskazini (Isaya 6:8)
-
Katika Oceania (Zaburi 94:14, 19)
-
Katika Amerika ya Kusini (Zaburi 34:19)
-
-
10:15 (16:15) Ukuwe Hodari Lakini Usijitegemee! (Methali 3:5, 6; Isaya 25:9; Yeremia 17:5-10; Yohana 5:19)
-
10:50 (16:50) Wimbo Na. 3 na Sala ya Mwisho