Hamia kwenye habari

Matineja

Baadhi ya majina ya watu walionukuliwa katika makala hizi yamebadilishwa.

Vibonzo Kwenye Ubao

Je, umewahi kujikuta katika hali ngumu sana kushughulika nazo? Ikiwa ndivyo, video hizi fupi zinaweza kukusaidia kukabiliana na matatizo ambayo vijana hukabili kwa ukawaida.

Daftari kwa Ajili ya Matineja

Daftari hizi zitakusaidia kuandika mawazo yako na kujitayarisha kwa ajili ya hali halisi maishani.