Hamia kwenye habari

Kujitambua

Wewe ni nani? Una viwango gani? Kujitambua kutakusaidia kuyaongoza maisha yako badala ya kuwaacha wengine wakuongoze.

My Character

Wewe Ni Mnyoofu Kadiri Gani?

Jichunguze kwa kutumia sehemu tatu za kujipima.

Jifunze Kutotazamia Ukamilifu

Daftari hili linaweza kukusaidia kuwa na usawaziko kuhusu mambo unayotarajia kufanya na yale unayotarajia wengine wafanye.

Simama Imara Unaposhinikizwa na Marafiki!

Hatua nne zinazoweza kukusaidia uwe na ujasiri wa kujifanyia maamuzi.

Daftari la Kukusaidia Kuchagua Mtu wa Kumwiga

Daftari linaloweza kukusaidia kuamua mtu wa kumwiga.

My Appearance

Kuchunguza Mwonekano Wako

Daftari hili linaweza kukusaidia uboreshe mwonekano wako.

Tafakari Kabla ya Kuchanja Chale

Maandiko yanasema nini kuhusu kuchanja chale?