B14-B
Pesa na Uzito
Pesa na Uzito Katika Maandiko ya Kiebrania
Gera (1⁄20 ya shekeli) gramu 0.57 gera 10 = beka 1 |
Beka gramu 5.7 beka 2 = shekeli 1 |
Pimu gramu 7.8 pimu 1 = 2⁄3 ya shekeli |
Shekeli gramu 11.4 shekeli 50 = mina 1 |
Mina gramu 570 mina 60 = talanta 1 |
Talanta kilogramu 34.2 |
Dariki (ya Uajemi, dhahabu) gramu 8.4 |
Pesa na Uzito Katika Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
Leptoni (ya Kiyahudi, shaba au shaba nyekundu) 1⁄2 kwadrani |
Kwadrani (ya Kiroma, shaba au shaba nyekundu) leptoni 2 |
Asarioni (ya Kiroma na ya mikoani, shaba au shaba nyekundu) kwadrante 4 |
Dinari (ya Kiroma, fedha) kwadrante 64 gramu 3.85 = Mshahara wa Siku 1 (saa 12) |
Drakma (ya Ugiriki, fedha) gramu 3.4 = Mshahara wa Siku 1 (saa 12) |
Didrakma (ya Ugiriki, fedha) drakma 2 gramu 6.8 = Mshahara wa Siku 2 |
Tetradrakma (ya Ugiriki, fedha; pia iliitwa stateri ya fedha) drakma 4 gramu 13.6 = Mshahara wa Siku 4 |
Mina drakma 100 gramu 340 = mshahara wa siku 100 hivi |
Talanta mina 60 kilogramu 20.4 = mshahara wa miaka 20 hivi |
Pauni au Ratili (ya Kiroma) gramu 327 “Ratili moja ya mafuta yenye marashi, nardo halisi” |