B14-A
Biashara
-
Vipimo vya Vitu vya Majimaji
-
Kori (bathi 10/ hini 60)
lita 220 / galoni 58.1;
-
Bathi (hini 6)
lita 22 / galoni 5.81
-
Hini (logi 12)
lita 3.67/ painti 7.75
-
Logi (1 ⁄ 12 ya hini)
lita 0.31 / painti 0.66
-
Vipimo vya Vitu Vikavu
-
Homeri (kori 1 / efa 10)
lita 220 / vibaba 200
-
Efa (sea 3 / omeri 10)
lita 22 / vibaba 20
-
Sea (omeri 31 ⁄ 3)
lita 7.33 / vibaba 6.66
-
Omeri (kabi 14 ⁄ 5)
lita 2.2 / vibaba 2
-
Kabi
lita 1.22 / vibaba 1.11
-
Kibaba
lita 1.08 / vibaba 0.98
-
Vipimo vya Urefu
-
Utete mrefu (mikono 6 mirefu)
mita 3.11 / futi 10.2
-
Utete (mikono 6)
mita 2.67 / futi 8.75
-
Pima
mita 1.8 / futi 6
-
Mkono mrefu (viganja 7)
sentimita 51.8 / inchi 20.4
-
Mkono (shubiri 2 / viganja 6)
sentimita 44.5 / inchi 17.5
-
Mkono mfupi
sentimita 38 / inchi 15
-
Stadiamu 1 ya Kiroma
1 ⁄ 8 ya maili ya Kiroma =mita 185 /futi 606.95
-
1 Upana wa kidole (1 ⁄ 4 ya kiganja)
sentimita 1.85 / inchi 0.73
-
2 Upana wa kiganja (upana wa vidole 4)
sentimita 7.4 / inchi 2.9
-
3 Shubiri (viganja 3)
sentimita 22.2 / inchi 8.75