Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

B12-A

Juma la Mwisho la Maisha ya Yesu Duniani (Sehemu ya 1)

Nisani 8 (Sabato)

MACHWEO (Kwa Wayahudi siku huanza na kwisha jua linapotua)

  • Awasili Bethania siku sita kabla ya Pasaka

MAPAMBAZUKO

MACHWEO

Nisani 9

MACHWEO

  • Ala mlo na Simoni mwenye ukoma

  • Maria ampaka Yesu mafuata ya nardo

  • Wayahudi waja kumwona Yesu na Lazaro

MAPAMBAZUKO

  • Yesu aingia Yerusalemu kwa shangwe

  • Afundisha hekaluni

MACHWEO

Nisani 10

MACHWEO

  • Alala Bethania

MAPAMBAZUKO

  • Aenda Yerusalemu mapema

  • Asafisha hekalu

  • Yehova azungumza kutoka mbinguni

MACHWEO

Nisani 11

MACHWEO

MAPAMBAZUKO

  • Afundisha hekaluni, akitumia mifano

  • Awashutumu Mafarisayo

  • Asifu mchango wa mjane

  • Kwenye Mlima wa Mizeituni, atabiri kuanguka kwa Yerusalemu na kutoa ishara ya kuwapo kwake wakati ujao

MACHWEO