B15
Kalenda ya Kiebrania
NISANI (ABIBU) Machi—Aprili |
14 Pasaka 15-21 Mikate Isiyo na Chachu 16 Kutoa mazao ya kwanza |
Mvua zanyesha, Mto Yordani wafurika, theluji yayeyuka |
Shayiri |
IYARI (ZIVU) Aprili—Mei |
14 Pasaka Iliyofanywa Baadaye |
Majira ya kiangazi yaanza, kwa kawaida anga halina mawingu |
Ngano |
SIVANI Mei—Juni |
6 Sherehe ya Majuma (Pentekoste) |
Joto la kiangazi, hewa safi |
Ngano, tini za kwanza |
TAMUZI Juni—Julai |
Joto laongezeka, umande mwingi katika maeneo mbalimbali |
Zabibu za kwanza |
|
ABI Julai—Agosti |
Joto lafikia kilele |
Matunda ya kiangazi |
|
ELULI Agosti—Septemba |
Joto laendelea |
Tende, zabibu, na tini |
|
TISHRI (ETHANIMU) Septemba—Oktoba |
1 Tarumbeta yapigwa 10 Siku ya Kufunika Dhambi 15-21 Sherehe ya Vibanda 22 Kusanyiko takatifu |
Mwisho wa kiangazi, mwanzo wa mvua za mapema |
Kulima |
HESHVANI (BULI) Oktoba—Novemba |
Mvua nyepesi |
Zeituni |
|
KISLEVU Novemba—Desemba |
25 Sherehe ya Wakfu |
Mvua yaongezeka, baridi kali, theluji milimani |
Mifugo yafungiwa |
TEBETHI Desemba—Januari |
Baridi kali kabisa, mvua, theluji milimani |
Mimea yachipuka |
|
SHEBATI Januari—Februari |
Baridi yapungua, mvua yaendelea |
Milozi yachanua |
|
ADARI Februari—Machi |
14, 15 Purimu |
Ngurumo na mvua za mawe mara kwa mara |
Kitani |
VEADARI Machi |
Mwezi huu uliongezwa mara saba katika muda wa miaka 19 |