A7-F
Matukio Muhimu Katika Maisha ya Yesu Duniani—Huduma ya Yesu ya Baadaye Mashariki mwa Yordani
WAKATI |
MAHALI |
TUKIO |
MATHAYO |
MARKO |
LUKA |
YOHANA |
---|---|---|---|---|---|---|
32, baada ya Sherehe ya Wakfu |
Bethania ng’ambo ya Yordani |
Aenda mahali Yohana alipokuwa akibatizia watu; wengi wamwamini Yesu |
||||
Perea |
Afundisha katika miji na vijiji, akisafiri kwenda Yerusalemu |
|||||
Atoa himizo la kuingia kupitia lango jembamba; aombolezea Yerusalemu |
||||||
Huenda ni Perea |
Afundisha kuhusu unyenyekevu; mifano ya mahali penye kuonekana zaidi na wageni waliotoa udhuru |
|||||
Hesabu gharama ya kuwa mwanafunzi |
||||||
Mifano ya kondoo aliyepotea, sarafu iliyopotea, mwana mpotevu |
||||||
Mifano ya msimamizi asiye mwadilifu, tajiri na Lazaro |
||||||
Afundisha kuhusu kukwaza, kusamehe, na imani |
||||||
Bethania |
Lazaro afa na kufufuliwa |
|||||
Yerusalemu; Efraimu |
Njama ya kumuua Yesu; aondoka |
|||||
Samaria; Galilaya |
Awaponya watu kumi wenye ukoma; aeleza jinsi Ufalme wa Mungu utakavyokuja |
|||||
Samaria au Galilaya |
Mifano ya mjane aliyeendelea kuomba, Farisayo na mkusanya-kodi |
|||||
Perea |
Afundisha kuhusu ndoa na talaka |
|||||
Awabariki watoto |
||||||
Swali la tajiri; mfano wa wafanyakazi katika shamba la mizabibu na kiwango kilekile cha mshahara |
||||||
Inaelekea ni Perea |
Atabiri kuhusu kifo chake mara ya tatu |
|||||
Ombi la Yakobo na Yohana kupata cheo katika Ufalme |
||||||
Yeriko |
Apitia huko, awaponya wanaume wawili vipofu; amtembelea Zakayo; mfano wa mina kumi |