A7-C
Matukio Muhimu Katika Maisha ya Yesu Duniani—Huduma Kuu ya Yesu Huko Galilaya (Sehemu ya 1)
WAKATI |
MAHALI |
TUKIO |
MATHAYO |
MARKO |
LUKA |
YOHANA |
---|---|---|---|---|---|---|
30 |
Galilaya |
Kwanza Yesu atangaza hivi “Ufalme wa mbinguni umekaribia” |
||||
Kana; Nazareti; Kapernaumu |
Amponya mwana wa mtawala; asoma kutoka kwenye kitabu cha Isaya; aenda Kapernaumu |
|||||
Bahari ya Galilaya, karibu na Kapernaumu |
Awaita wanafunzi wanne: Simoni na Andrea, Yakobo na Yohana |
|||||
Kapernaumu |
Amponya mama-mkwe wa Simoni na wengine |
|||||
Galilaya |
Ziara ya kwanza ya Galilaya, na wanafunzi wanne |
|||||
Amponya mwenye ukoma; umati wamfuata |
||||||
Kapernaumu |
Amponya mtu aliyepooza |
|||||
Amwita Mathayo; ala pamoja na wakusanya kodi; aulizwa kuhusu kufunga |
||||||
Yudea |
Afundisha kwenye masinagogi |
|||||
31, Pasaka |
Yerusalemu |
Amponya mgonjwa huko Bethzatha; Wayahudi wataka kumuua |
||||
Arudi kutoka Yerusalemu (?) |
Wanafunzi wachuma masuke ya ngano siku ya Sabato; Yesu “Bwana wa Sabato” |
|||||
Galilya; Bahari ya Galilaya |
Aponya mkono wa mtu siku ya Sabato; umati wamfuata; aponya watu wengi zaidi |
|||||
Mlimani karibu na Kapernaumu |
Achagua mitume 12 |
|||||
Karibu na Kapernaumu |
Mahubiri ya Mlimani |
|||||
Kapernaumu |
Amponya mtumishi wa ofisa wa jeshi |
|||||
Naini |
Amfufua mwana wa mjane |
|||||
Galilaya (Naini au karibu na hapo) |
Yohana awatuma wanafunzi wake kwa Yesu; ukweli wafunuliwa kwa watoto; nira laini |
|||||
Galilaya (Naini au karibu na hapo) |
Mwanamke mtenda dhambi amimina mafuta kwenye miguu ya Yesu; mfano wa watu wawili wanaodaiwa |
|||||
Galilaya |
Safari ya pili ya kuhubiri, akiwa na mitume 12 |
|||||
Afukuza roho waovu; dhambi isiyosameheka |
||||||
Hatoi ishara yoyote isipokuwa ishara ya Yona |
||||||
Mama yake na ndugu zake waja; asema wanafunzi wake ndio ndugu na dada zake |