A6-A
Chati: Manabii na Wafalme wa Yuda na Israeli (Sehemu ya 1)
Wafalme wa Ufalme wa Kusini wa Yuda Uliokuwa na Makabila Mawili
997 K.W.K.
Rehoboamu: Miaka 17
980
Abiya (Abiyamu): Miaka 3
978
Asa: Miaka 41
937
Yehoshafati: Miaka 25
913
Yehoramu: Miaka 8
Karibu 906
Ahazia: Mwaka 1
Karibu 905
Malkia Athalia: Miaka 6
898
Yehoashi: Miaka 40
858
Amazia: Miaka 29
829
Uzia (Azaria): Miaka 52
Wafalme wa Ufalme wa Kaskazini wa Israeli Uliokuwa na Makabila Kumi
997 KW.K.
Yeroboamu: Miaka 22
Karibu 976
Nadabu: Miaka 2
Karibu 975
Baasha: Miaka 24
Karibu 952
Ela: Miaka 2
Zimri: Siku 7 (Karibu 951)
Omri na Tibni: Miaka 4
Karibu 947
Omri (peke yake): Miaka 8
Karibu 940
Ahabu: Miaka 22
Karibu 920
Ahazia: Miaka 2
Karibu 917
Yehoramu: Miaka 12
Karibu 905
Yehu: Miaka 28
876
Yehoahazi: Miaka 14
Karibu 862
Yehoahazi na Yehoashi: Miaka 3
Karibu 859
Yehoashi (peke yake): Miaka 16
Karibu 844
Yeroboamu wa Pili: Miaka 41
-
Orodha ya Manabii
-
Yoeli
-
Eliya
-
Elisha
-
Yona
-
Amosi