A7-B
Matukio Muhimu Katika Maisha ya Yesu Duniani—Mwanzo wa Huduma ya Yesu
WAKATI |
MAHALI |
TUKIO |
MATHAYO |
MARKO |
LUKA |
YOHANA |
---|---|---|---|---|---|---|
29, majira ya kupukutika |
Mto Yordani, ng’ambo ya Yordani karibu na au huko Bethania |
Yesu abatizwa na kutiwa mafuta; Yehova atangaza kwamba Yesu ni mwanawe na kumkubali |
||||
Nyika ya Yudea |
Ajaribiwa na Ibilisi |
|||||
Bethania ng’ambo ya Yordani |
Yohana Mbatizaji amtambulisha Yesu kuwa Mwana-Kondoo wa Mungu; wanafunzi wa kwanza wajiunga na Yesu |
|||||
Kana ya Galilaya; Kapernaumu |
Muujiza wa kwanza kwenye harusi, Yesu ageuza maji kuwa divai; atembelea Kapernaumu |
|||||
30, Pasaka |
Yerusalemu |
Asafisha hekalu |
||||
Azungumza na Nikodemo |
||||||
Yudea; Ainoni |
Yesu atembelea eneo la Yudea, wanafunzi wake wabatiza watu; ushahidi wa mwisho wa Yohana kumhusu Yesu |
|||||
Tiberia; Yudea |
Yohana afungwa gerezani; Yesu aondoka kuelekea Galilaya |
|||||
Sikari, eneo la Samaria |
Akiwa njiani kwenda Galilaya, afundisha Wasamaria |