Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

A7-D

Matukio Muhimu Katika Maisha ya Yesu Duniani—Huduma Kuu ya Yesu Huko Galilaya (Sehemu ya 2)

WAKATI

MAHALI

TUKIO

MATHAYO

MARKO

LUKA

YOHANA

31 au 32

Eneo la Kapernaumu

Yesu asimulia mifano kuhusu Ufalme

13:1-53

4:1-34

8:4-18

 

Bahari ya Galilaya

Atuliza bahari akiwa ndani ya mashua

8:18, 23-27

4:35-41

8:22-25

 

Eneo la Gadara

Awatuma roho waovu ndani ya nguruwe

8:28-34

5:1-20

8:26-39

 

Huenda ni Kapernaumu

Amponya mwanamke mwenye mtiririko wa damu; amfufua binti ya Yairo

9:18-26

5:21-43

8:40-56

 

Kapernaumu (?)

Awaponya vipofu na mabubu

9:27-34

     

Nazareti

Akataliwa tena katika mji wa nyumbani kwao

13:54-58

6:1-5

   

Galilaya

Safari ya tatu kwenda Galilaya; apanua kazi kwa kuwatuma mitume

9:35–11:1

6:6-13

9:1-6

 

Tiberia

Herode amkata kichwa Yohana Mbatizaji; Herode ashangazwa na Yesu

14:1-12

6:14-29

9:7-9

 

32, karibu na Pasaka (Joh 6:4)

Kapernaumu (?); Kask. Mash. ya Bahari ya Galilaya

Mitme warudi kutoka safari ya kuhubiri; Yesu alisha wanaume 5,000

14:13-21

6:30-44

9:10-17

6:1-13

Kask. Mash. ya Bahari ya Galilaya; Genesareti

Wajaribu kumfanya Yesu mfalme; atembea juu ya bahari; aponya wengi

14:22-36

6:45-56

 

6:14-21

Kapernaumu

Asema yeye ndiye “mkate wa uzima”; wengi wakwazika na kumwacha

     

6:22-71

32, baada ya Pasaka

Labda Kapernaumu

Afunua mapokeo ya wanadamu

15:1-20

7:1-23

 

7:1

Foinike; Dekapoli

Amponya binti ya mwanamke Msirofoinike; alisha wanaume 4,000

15:21-38

7:24–8:9

   

Magadani

Akataa kutoa ishara ila ya Yona

15:39–16:4

8:10-12