Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Kitabu cha Kwanza cha Mambo ya Nyakati

Sura

Muhtasari wa Yaliyomo

  • 1

    • Kuanzia Adamu mpaka Abrahamu (1-27)

    • Wazao wa Abrahamu (28-37)

    • Waedomu na wafalme wao na mashehe wao (38-54)

  • 2

    • Wana 12 wa Israeli (1, 2)

    • Wazao wa Yuda (3-55)

  • 3

    • Wazao wa Daudi (1-9)

    • Uzao wa kifalme wa Daudi (10-24)

  • 4

    • Wazao wengine wa Yuda (1-23)

      • Yabesi na sala yake (9, 10)

    • Wazao wa Simeoni (24-43)

  • 5

    • Wazao wa Rubeni (1-10)

    • Wazao wa Gadi (11-17)

    • Wahagri washindwa (18-22)

    • Nusu ya kabila la Manase (23-26)

  • 6

    • Wazao wa Lawi (1-30)

    • Waimbaji wa hekaluni (31-47)

    • Wazao wa Haruni (48-53)

    • Makao ya Walawi (54-81)

  • 7

    • Wazao wa Isakari (1-5), wa Benjamini (6-12), wa Naftali (13), wa Manase (14-19), wa Efraimu (20-29), na wa Asheri (30-40)

  • 8

    • Wazao wa Benjamini (1-40)

      • Wazao wa Sauli (33-40)

  • 9

    • Koo zilizoandikishwa baada ya kurudi kutoka uhamishoni (1-34)

    • Orodha ya wazao wa Sauli yarudiwa (35-44)

  • 10

    • Kifo cha Sauli na wanawe (1-14)

  • 11

    • Daudi atiwa mafuta na Waisraeli wote kuwa mfalme (1-3)

    • Daudi ateka jiji la Sayuni (4-9)

    • Mashujaa hodari wa Daudi (10-47)

  • 12

    • Waliounga mkono utawala wa Daudi (1-40)

  • 13

    • Sanduku la agano laletwa kutoka Kiriath-yearimu (1-14)

  • 14

    • Daudi aimarishwa kuwa mfalme (1, 2)

    • Familia ya Daudi (3-7)

    • Wafilisti washindwa (8-17)

  • 15

    • Walawi wabeba sanduku la agano na kulipeleka Yerusalemu (1-29)

      • Mikali amdharau Daudi (29)

  • 16

    • Sanduku la agano lawekwa hemani (1-6)

    • Wimbo wa shukrani wa Daudi (7-36)

      • “Yehova amekuwa Mfalme!” (31)

    • Utumishi mbele ya sanduku la agano (37-43)

  • 17

    • Daudi hatajenga hekalu (1-6)

    • Agano pamoja na Daudi kwa ajili ya ufalme (7-15)

    • Sala ya Daudi ya shukrani (16-27)

  • 18

    • Ushindi mbalimbali wa Daudi (1-13)

    • Wasimamizi wa Daudi (14-17)

  • 19

    • Waamoni wawatendea vibaya wajumbe wa Daudi (1-5)

    • Daudi awashinda Waamoni na Wasiria (6-19)

  • 20

    • Jiji la Raba latekwa (1-3)

    • Majitu ya Wafilisti yauawa (4-8)

  • 21

    • Daudi awahesabu watu bila idhini (1-6)

    • Yehova awaadhibu (7-17)

    • Daudi ajenga madhabahu (18-30)

  • 22

    • Daudi afanya matayarisho ya kujenga hekalu (1-5)

    • Daudi ampa Sulemani maagizo (6-16)

    • Wakuu waamriwa wamsaidie Sulemani (17-19)

  • 23

    • Daudi awapanga Walawi (1-32)

      • Haruni na wanawe watengwa kando (13)

  • 24

    • Daudi awapanga makuhani katika vikundi 24 (1-19)

    • Kazi nyingine za Walawi (20-31)

  • 25

    • Wanamuziki na waimbaji wa nyumba ya Mungu (1-31)

  • 26

    • Vikundi vya walinzi wa malango (1-19)

    • Waweka hazina na maofisa wengine (20-32)

  • 27

    • Maofisa waliomtumikia mfalme (1-34)

  • 28

    • Hotuba ya Daudi kuhusu ujenzi wa hekalu (1-8)

    • Maagizo aliyompa Sulemani; ampa ramani ya ujenzi (9-21)

  • 29

    • Michango kwa ajili ya hekalu (1-9)

    • Sala ya Daudi (10-19)

    • Watu washangilia; utawala wa Sulemani (20-25)

    • Kifo cha Daudi (26-30)