ONYESHA Kitabu cha Biblia Mwanzo Kutoka Mambo ya Walawi Hesabu Kumbukumbu la Torati Yoshua Waamuzi Ruthu 1 Samweli 2 Samweli 1 Wafalme 2 Wafalme 1 Mambo ya Nyakati 2 Mambo ya Nyakati Ezra Nehemia Ayubu Zaburi Methali Mhubiri Wimbo wa Sulemani Isaya Yeremia Ezekieli Danieli Mika Habakuki Hagai Zekaria Malaki Mathayo Marko Luka Yohana Matendo Waroma 1 Wakorintho 2 Wakorintho Wagalatia Waefeso Wafilipi Wakolosai 1 Wathesalonike 1 Timotheo 2 Timotheo Waebrania Yakobo 1 Petro 2 Petro 1 Yohana 2 Yohana 3 Yohana Yuda Ufunuo Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 Barua ya Kwanza kwa Wakorintho Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 Muhtasari wa Yaliyomo 1 Salamu (1-3) Paulo amshukuru Mungu kwa sababu ya Wakorintho (4-9) Wahimizwa kuwa na umoja (10-17) Kristo, nguvu na hekima ya Mungu (18-25) Kujisifu tu katika Yehova (26-31) 2 Paulo ahubiri huko Korintho (1-5) Ubora wa hekima ya Mungu (6-10) Tofauti kati ya mtu wa kiroho na mtu wa kimwili (11-16) 3 Bado Wakorintho ni wa kimwili (1-4) Mungu hufanya ikue (5-9) Wafanyakazi wenzi wa Mungu (9) Jengeni kwa vifaa visivyoshika moto (10-15) Ninyi ni hekalu la Mungu (16, 17) Hekima ya ulimwengu ni upumbavu kwa Mungu (18-23) 4 Wasimamizi wanapaswa kuwa waaminifu (1-5) Unyenyekevu wa wahudumu Wakristo (6-13) “Msipite mambo yaliyoandikwa” (6) Wakristo ni tamasha (9) Paulo awajali watoto wake wa kiroho (14-21) 5 Kisa cha uasherati (1-5) Chachu kidogo huchachisha donge lote (6-8) Mtu mwovu aondolewe (9-13) 6 Kesi miongoni mwa akina ndugu Wakristo (1-8) Wale ambao hawataurithi Ufalme (9-11) Mtukuzeni Mungu katika miili yenu (12-20) “Ukimbieni uasherati!” (18) 7 Ushauri kwa waseja na waliofunga ndoa (1-16) Baki katika hali uliyokuwa nayo ulipoitwa (17-24) Waseja na wajane (25-40) Faida za kuwa mseja (32-35) Funga ndoa “katika Bwana tu” (39) 8 Kuhusu chakula kinachotolewa kwa sanamu (1-13) Kwetu kuna Mungu mmoja tu (5, 6) 9 Mfano wa Paulo akiwa mtume (1-27) “Hupaswi kumfunga kinywa ng’ombe dume” (9) ‘Ole wangu nisipohubiri!’ (16) Kuwa vitu vyote kwa watu wote (19-23) Kujidhibiti katika mbio za uzima (24-27) 10 Vielelezo vya kuonya kutokana na historia ya Israeli (1-13) Onyo dhidi ya ibada ya sanamu (14-22) Meza ya Yehova, meza ya roho waovu (21) Uhuru na kuwafikiria wengine (23-33) “Fanyeni mambo yote kwa utukufu wa Mungu” (31) 11 “Iweni waigaji wangu” (1) Ukichwa na kufunika kichwa (2-16) Kuadhimisha Mlo wa Jioni wa Bwana (17-34) 12 Zawadi za roho (1-11) Mwili mmoja, viungo vingi (12-31) 13 Upendo—njia bora zaidi (1-13) 14 Zawadi za unabii na lugha (1-25) Mikutano ya Kikristo yenye utaratibu (26-40) Sehemu ya wanawake katika kutaniko (34, 35) 15 Ufufuo wa Kristo (1-11) Ufufuo, msingi wa imani (12-19) Ufufuo wa Kristo unatoa uhakikisho (20-34) Mwili wa nyama, mwili wa kiroho (35-49) Kutoweza kufa na kutoweza kuharibika (50-57) Kuwa na mengi ya kufanya katika kazi ya Bwana (58) 16 Mchango kwa ajili ya Wakristo huko Yerusalemu (1-4) Mipango ya safari za Paulo (5-9) Mipango ya ziara za Timotheo na Apolo (10-12) Himizo na salamu (13-24) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki 1 Wakorintho—Yaliyomo BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017) 1 Wakorintho—Yaliyomo Lugha ya Alama ya Tanzania 1 Wakorintho—Yaliyomo https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1001061100/univ/wpub/1001061100_univ_sqr_xl.jpg nwt 1 Wakorintho 1819-1820