ONYESHA Kitabu cha Biblia Mwanzo Kutoka Mambo ya Walawi Hesabu Kumbukumbu la Torati Yoshua Waamuzi Ruthu 1 Samweli 2 Samweli 1 Wafalme 2 Wafalme 1 Mambo ya Nyakati 2 Mambo ya Nyakati Ezra Nehemia Ayubu Zaburi Methali Mhubiri Wimbo wa Sulemani Isaya Yeremia Ezekieli Danieli Mika Habakuki Hagai Zekaria Malaki Mathayo Marko Luka Yohana Matendo Waroma 1 Wakorintho 2 Wakorintho Wagalatia Waefeso Wafilipi Wakolosai 1 Wathesalonike 1 Timotheo 2 Timotheo Waebrania Yakobo 1 Petro 2 Petro 1 Yohana 2 Yohana 3 Yohana Yuda Ufunuo Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 Kitabu cha Pili cha Mambo ya Nyakati Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 Muhtasari wa Yaliyomo 1 Sulemani aomba hekima (1-12) Utajiri wa Sulemani (13-17) 2 Matayarisho ya kujenga hekalu (1-18) 3 Sulemani aanza kujenga hekalu (1-7) Patakatifu Zaidi (8-14) Nguzo mbili za shaba (15-17) 4 Madhabahu, Bahari, na mabeseni (1-6) Vinara vya taa, meza, na nyua (7-11a) Vyombo vyote vya hekalu vyakamilishwa (11b-22) 5 Matayarisho ya kuzindua hekalu (1-14) Sanduku la agano laletwa hekaluni (2-10) 6 Hotuba ya Sulemani (1-11) Sala ya Sulemani ya kuzindua hekalu (12-42) 7 Hekalu lajaa utukufu wa Yehova (1-3) Sherehe za kuzindua hekalu (4-10) Yehova amtokea Sulemani (11-22) 8 Miradi mingine ya ujenzi ya Sulemani (1-11) Ibada ya hekaluni yapangwa (12-16) Meli za Sulemani (17, 18) 9 Malkia wa Sheba amtembelea Sulemani (1-12) Utajiri wa Sulemani (13-28) Kifo cha Sulemani (29-31) 10 Waisraeli wamwasi Rehoboamu (1-19) 11 Utawala wa Rehoboamu (1-12) Walawi washikamanifu wahamia Yuda (13-17) Familia ya Rehoboamu (18-23) 12 Shishaki ashambulia Yerusalemu (1-12) Mwisho wa utawala wa Rehoboamu (13-16) 13 Abiya, mfalme wa Yuda (1-22) Abiya amshinda Yeroboamu (3-20) 14 Kifo cha Abiya (1) Asa, mfalme wa Yuda (2-8) Asa awashinda Waethiopia 1,000,000 (9-15) 15 Mabadiliko yaliyofanywa na Asa (1-19) 16 Asa afanya mkataba na Siria (1-6) Hanani amkemea Asa (7-10) Kifo cha Asa (11-14) 17 Yehoshafati, mfalme wa Yuda (1-6) Kampeni ya kufundisha (7-9) Nguvu za kijeshi za Yehoshafati (10-19) 18 Yehoshafati aungana na Ahabu (1-11) Mikaya atabiri kwamba watashindwa (12-27) Ahabu auawa Ramoth-gileadi (28-34) 19 Yehu amkemea Yehoshafati (1-3) Mabadiliko yaliyofanywa na Yehoshafati (4-11) 20 Mataifa jirani yawatisha watu wa Yuda (1-4) Yehoshafati asali apate msaada (5-13) Jibu la Yehova (14-19) Watu wa Yuda waokolewa kimuujiza (20-30) Mwisho wa utawala wa Yehoshafati (31-37) 21 Yehoramu, mfalme wa Yuda (1-11) Barua kutoka kwa Eliya (12-15) Mwisho mbaya wa Yehoramu (16-20) 22 Ahazia, mfalme wa Yuda (1-9) Athalia anyakua ufalme (10-12) 23 Yehoyada aingilia kati; Yehoashi awekwa kuwa mfalme (1-11) Athalia auawa (12-15) Mabadiliko yaliyofanywa na Yehoyada (16-21) 24 Utawala wa Yehoashi (1-3) Yehoashi arekebisha hekalu (4-14) Uasi imani wa Yehoashi (15-22) Yehoashi auawa (23-27) 25 Amazia, mfalme wa Yuda (1-4) Apigana vita na Edomu (5-13) Amazia aabudu sanamu (14-16) Apigana vita na Mfalme Yehoashi wa Israeli (17-24) Kifo cha Amazia (25-28) 26 Uzia, mfalme wa Yuda (1-5) Kampeni za kivita za Uzia (6-15) Uzia mwenye kiburi apigwa na ukoma (16-21) Kifo cha Uzia (22, 23) 27 Yothamu, mfalme wa Yuda (1-9) 28 Ahazi, mfalme wa Yuda (1-4) Ashindwa na Wasiria na Waisraeli (5-8) Odedi awaonya Waisraeli (9-15) Watu wa Yuda wanyenyekezwa (16-19) Ahazi aabudu sanamu; kifo chake (20-27) 29 Hezekia, mfalme wa Yuda (1, 2) Mabadiliko yaliyofanywa na Hezekia (3-11) Hekalu latakaswa (12-19) Utumishi wa hekaluni waanzishwa tena (20-36) 30 Hezekia aadhimisha Pasaka (1-27) 31 Hezekia aung’oa uasi imani (1) Makuhani na Walawi wategemezwa ifaavyo (2-21) 32 Senakeribu alitisha jiji la Yerusalemu (1-8) Senakeribu ampinga Yehova (9-19) Malaika aangamiza jeshi la Ashuru (20-23) Ugonjwa wa Hezekia na kiburi chake (24-26) Mambo aliyotimiza Hezekia na kifo chake (27-33) 33 Manase, mfalme wa Yuda (1-9) Manase atubu uovu wake (10-17) Kifo cha Manase (18-20) Amoni, mfalme wa Yuda (21-25) 34 Yosia, mfalme wa Yuda (1, 2) Mabadiliko yaliyofanywa na Yosia (3-13) Kitabu cha Sheria chapatikana (14-21) Unabii wa Hulda kuhusu msiba (22-28) Yosia awasomea watu kitabu kilichopatikana (29-33) 35 Yosia apanga Pasaka kubwa (1-19) Farao Neko amuua Yosia (20-27) 36 Yehoahazi, mfalme wa Yuda (1-3) Yehoyakimu, mfalme wa Yuda (4-8) Yehoyakini, mfalme wa Yuda (9, 10) Sedekia, mfalme wa Yuda (11-14) Uharibifu wa Yerusalemu (15-21) Koreshi aagiza hekalu lijengwe upya (22, 23) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki 2 Mambo ya Nyakati—Yaliyomo BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017) 2 Mambo ya Nyakati—Yaliyomo Lugha ya Alama ya Tanzania 2 Mambo ya Nyakati—Yaliyomo https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1001061100/univ/wpub/1001061100_univ_sqr_xl.jpg nwt 2 Nyakati 717-719