Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Kitabu cha Hagai

Sura

1 2

Muhtasari wa Yaliyomo

  • 1

    • Wakemewa kwa kutojenga hekalu (1-11)

      • ‘Je, ni wakati wa kukaa katika nyumba zilizopambwa kwa mbao?’ (4)

      • “Kazieni mioyo yenu juu ya njia zenu” (5)

      • Kupanda kwa wingi kuvuna kidogo (6)

    • Watu wasikiliza sauti ya Yehova (12-15)

  • 2

    • Hekalu la pili kujaa utukufu (1-9)

      • Kutikiswa kwa mataifa yote (7)

      • Kukusanywa kwa vitu vyenye thamani vya mataifa (7)

    • Kujenga upya hekalu kwaleta baraka (10-19)

      • Utakatifu hauwezi kupitishwa kwa mwingine (10-14)

    • Ujumbe kwa Zerubabeli (20-23)

      • “Nitakufanya kuwa kama pete ya muhuri” (23)