ONYESHA Kitabu cha Biblia Mwanzo Kutoka Mambo ya Walawi Hesabu Kumbukumbu la Torati Yoshua Waamuzi Ruthu 1 Samweli 2 Samweli 1 Wafalme 2 Wafalme 1 Mambo ya Nyakati 2 Mambo ya Nyakati Ezra Nehemia Ayubu Zaburi Methali Mhubiri Wimbo wa Sulemani Isaya Yeremia Ezekieli Danieli Mika Habakuki Hagai Zekaria Malaki Mathayo Marko Luka Yohana Matendo Waroma 1 Wakorintho 2 Wakorintho Wagalatia Waefeso Wafilipi Wakolosai 1 Wathesalonike 1 Timotheo 2 Timotheo Waebrania Yakobo 1 Petro 2 Petro 1 Yohana 2 Yohana 3 Yohana Yuda Ufunuo Sura 1 2 3 4 Kitabu cha Malaki Sura 1 2 3 4 Muhtasari wa Yaliyomo 1 Yehova anawapenda watu wake (1-5) Makuhani watoa dhabihu zisizofaa (6-14) Jina la Mungu litakuwa kuu miongoni mwa mataifa (11) 2 Makuhani washindwa kuwafundisha watu (1-9) Midomo ya kuhani inapaswa kulinda ujuzi (7) Watu wawataliki wake zao bila msingi (10-17) “‘Ninachukia talaka,’ asema Yehova” (16) 3 Bwana wa kweli aja kutakasa hekalu lake (1-5) Mjumbe wa agano (1) Washauriwa wamrudie Yehova (6-12) Yehova habadiliki (6) “Nirudieni, nami nitawarudia” (7) ‘Leteni sehemu yote ya kumi, na Yehova atawamwagia baraka’ (10) Mwadilifu na mwovu (13-18) Majina yaandikwa katika kitabu cha kumbukumbu cha Mungu (16) Tofauti kati ya mwadilifu na mwovu (18) 4 Kuja kwa Eliya kabla ya siku ya Yehova (1-6) “Jua la uadilifu litawaangazia” (2) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Malaki—Yaliyomo BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017) Malaki—Yaliyomo Lugha ya Alama ya Tanzania Malaki—Yaliyomo https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1001061100/univ/wpub/1001061100_univ_sqr_xl.jpg nwt Malaki 1550