ONYESHA Kitabu cha Biblia Mwanzo Kutoka Mambo ya Walawi Hesabu Kumbukumbu la Torati Yoshua Waamuzi Ruthu 1 Samweli 2 Samweli 1 Wafalme 2 Wafalme 1 Mambo ya Nyakati 2 Mambo ya Nyakati Ezra Nehemia Ayubu Zaburi Methali Mhubiri Wimbo wa Sulemani Isaya Yeremia Ezekieli Danieli Mika Habakuki Hagai Zekaria Malaki Mathayo Marko Luka Yohana Matendo Waroma 1 Wakorintho 2 Wakorintho Wagalatia Waefeso Wafilipi Wakolosai 1 Wathesalonike 1 Timotheo 2 Timotheo Waebrania Yakobo 1 Petro 2 Petro 1 Yohana 2 Yohana 3 Yohana Yuda Ufunuo Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 Kitabu cha Waamuzi Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 Muhtasari wa Yaliyomo 1 Ushindi wa kabila la Yuda na la Simeoni (1-20) Wayebusi waendelea kuishi Yerusalemu (21) Yosefu achukua Betheli (22-26) Wakanaani hawakufukuzwa wote (27-36) 2 Onyo kutoka kwa malaika wa Yehova (1-5) Kifo cha Yoshua (6-10) Mungu atuma waamuzi kuwaokoa Waisraeli (11-23) 3 Yehova awajaribu Waisraeli (1-6) Othnieli, mwamuzi wa kwanza (7-11) Mwamuzi Ehudi amuua Mfalme Egloni aliyekuwa mnene (12-30) Mwamuzi Shamgari (31) 4 Mfalme Yabini wa Kanaani awakandamiza Waisraeli (1-3) Nabii wa kike Debora na Mwamuzi Baraka (4-16) Yaeli amuua Sisera mkuu wa jeshi (17-24) 5 Wimbo wa ushindi wa Debora na Baraka (1-31) Nyota zapigana na Sisera (20) Mafuriko ya Mto Kishoni (21) Wanaompenda Yehova wako kama jua (31) 6 Wamidiani wawakandamiza Waisraeli (1-10) Malaika amhakikishia Mwamuzi Gideoni atapata msaada (11-24) Gideoni abomoa madhabahu ya Baali (25-32) Roho ya Mungu yamtia nguvu Gideoni (33-35) Jaribio la manyoya (36-40) 7 Gideoni na wanaume 300 (1-8) Jeshi la Gideoni lawashinda Wamidiani (9-25) “Upanga wa Yehova na wa Gideoni!” (20) Kambi ya Wamidiani yachanganyikiwa (21, 22) 8 Waefraimu wamlalamikia Gideoni (1-3) Wafalme Wamidiani wafuatiliwa na kuuawa (4-21) Gideoni akataa kuwa mfalme (22-27) Historia fupi ya maisha ya Gideoni (28-35) 9 Abimeleki awa mfalme kule Shekemu (1-6) Fumbo la Yothamu (7-21) Utawala wa kikatili wa Abimeleki (22-33) Abimeleki ashambulia Shekemu (34-49) Mwanamke amjeruhi Abimeleki; Abimeleki afa (50-57) 10 Waamuzi Tola na Yairi (1-5) Waisraeli waasi na kutubu (6-16) Waamoni wataka kuwashambulia Waisraeli (17, 18) 11 Mwamuzi Yeftha afukuzwa, baadaye afanywa kuwa kiongozi (1-11) Yeftha azungumza na Waamoni (12-28) Nadhiri ya Yeftha na binti yake (29-40) Maisha ya useja ya binti yake (38-40) 12 Apigana na Waefraimu (1-7) Jaribio la kutamka Shibolethi (6) Waamuzi Ibzani, Eloni, na Abdoni (8-15) 13 Malaika amtembelea Manoa na mke wake (1-23) Samsoni azaliwa (24, 25) 14 Mwamuzi Samsoni atafuta mke Mfilisti (1-4) Roho ya Yehova yamwezesha Samsoni kumuua simba (5-9) Samsoni atega kitendawili kwenye harusi (10-19) Mwanamume mwingine apewa mke wa Samsoni (20) 15 Samsoni alipiza kisasi dhidi ya Wafilisti (1-20) 16 Samsoni akiwa Gaza (1-3) Samsoni na Delila (4-22) Samsoni alipiza kisasi na kufa (23-31) 17 Sanamu za Mika na kuhani wake (1-13) 18 Watu wa kabila la Dani watafuta nchi (1-31) Kuchukuliwa kwa sanamu za Mika na kuhani wake (14-20) Jiji la Laishi lachukuliwa na kuitwa Dani (27-29) Ibada ya sanamu katika jiji la Dani (30, 31) 19 Wabenjamini wabaka katika jiji la Gibea (1-30) 20 Wabenjamini washambuliwa (1-48) 21 Kabila la Wabenjamini laokolewa (1-25) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Waamuzi—Yaliyomo BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017) Waamuzi—Yaliyomo Lugha ya Alama ya Tanzania Waamuzi—Yaliyomo https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1001061100/univ/wpub/1001061100_univ_sqr_xl.jpg nwt Waamuzi 418-419