ONYESHA Kitabu cha Biblia Mwanzo Kutoka Mambo ya Walawi Hesabu Kumbukumbu la Torati Yoshua Waamuzi Ruthu 1 Samweli 2 Samweli 1 Wafalme 2 Wafalme 1 Mambo ya Nyakati 2 Mambo ya Nyakati Ezra Nehemia Ayubu Zaburi Methali Mhubiri Wimbo wa Sulemani Isaya Yeremia Ezekieli Danieli Mika Habakuki Hagai Zekaria Malaki Mathayo Marko Luka Yohana Matendo Waroma 1 Wakorintho 2 Wakorintho Wagalatia Waefeso Wafilipi Wakolosai 1 Wathesalonike 1 Timotheo 2 Timotheo Waebrania Yakobo 1 Petro 2 Petro 1 Yohana 2 Yohana 3 Yohana Yuda Ufunuo Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 Barua kwa Waroma Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 Muhtasari wa Yaliyomo 1 Salamu (1-7) Paulo atamani kutembelea Roma (8-15) Mwadilifu ataishi kupitia imani (16, 17) Watu wasiomwogopa Mungu hawana sababu ya kujitetea (18-32) Sifa za Mungu zinaonekana kupitia uumbaji (20) 2 Hukumu ya Mungu dhidi ya Wayahudi na Wagiriki (1-16) Jinsi dhamiri inavyofanya kazi (14, 15) Wayahudi na Sheria (17-24) Kutahiriwa moyoni (25-29) 3 “Mungu na aonekane kuwa wa kweli” (1-8) Wayahudi na Wagiriki wako chini ya dhambi (9-20) Uadilifu kupitia imani (21-31) Wote wanapungukiwa na utukufu wa Mungu (23) 4 Abrahamu alitangazwa kuwa mwadilifu kupitia imani (1-12) Abrahamu, baba ya wale walio na imani (11) Kupokea ahadi kupitia imani (13-25) 5 Kupatanishwa na Mungu kupitia Kristo (1-11) Kifo kupitia Adamu, uzima kupitia Kristo (12-21) Dhambi na kifo vyaenea kwa wote (12) Tendo moja la kutetewa (18) 6 Uhai mpya kupitia ubatizo katika Kristo (1-11) Msiache dhambi itawale katika miili yenu (12-14) Kuacha utumwa wa dhambi na kuwa watumwa wa Mungu (15-23) Mshahara wa dhambi—kifo; Zawadi ya Mungu—uzima (23) 7 Kuwekwa huru kutoka katika Sheria kwafafanuliwa (1-6) Dhambi yafunuliwa kupitia Sheria (7-12) Kupambana na dhambi (13-25) 8 Uzima na uhuru kupitia roho (1-11) Roho ya kuwa wana hutoa ushahidi (12-17) Uumbaji unangojea uhuru wa wana wa Mungu (18-25) ‘Roho hutuombea’ (26, 27) Mungu aliwachagua awali (28-30) Ushindi kupitia upendo wa Mungu (31-39) 9 Paulo awahuzunikia Israeli wa kimwili (1-5) Uzao wa kweli wa Abrahamu (6-13) Mungu akichagua haiwezekani kumpinga (14-26) Vyombo vya ghadhabu na vya rehema (22, 23) Ni mabaki tu watakaookolewa (27-29) Israeli wajikwaa (30-33) 10 Jinsi ya kufikia uadilifu wa Mungu (1-15) Tangazo la hadharani (10) Kumwitia Yehova humaanisha wokovu (13) Miguu ya wahubiri inapendeza (15) Habari njema yakataliwa (16-21) 11 Israeli hawakukataliwa wote (1-16) Mfano wa mzeituni (17-32) Kina cha hekima ya Mungu (33-36) 12 Toeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai (1, 2) Zawadi mbalimbali lakini mwili mmoja (3-8) Ushauri kuhusu maisha ya Wakristo wa kweli (9-21) 13 Kujitiisha chini ya mamlaka (1-7) Kulipa kodi (6, 7) Upendo hutimiza Sheria (8-10) Jiendesheni kama wakati wa mchana (11-14) 14 Msihukumiane (1-12) Msiwakwaze wengine (13-18) Jitahidi kupata amani na umoja (19-23) 15 Karibishaneni kama Kristo alivyofanya (1-13) Paulo, mtumishi kwa mataifa (14-21) Mipango ya safari za Paulo (22-33) 16 Paulo amtambulisha Fibi, mhudumu (1, 2) Salamu kwa Wakristo huko Roma (3-16) Waonywa kuhusu migawanyiko (17-20) Salamu kutoka kwa wafanyakazi wenzi wa Paulo (21-24) Siri takatifu yafunuliwa (25-27) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Waroma—Yaliyomo BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017) Waroma—Yaliyomo Lugha ya Alama ya Tanzania Waroma—Yaliyomo https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1001061100/univ/wpub/1001061100_univ_sqr_xl.jpg nwt Waroma 1795-1796