WIMBO NA. 1 Sifa za Yehova Chagua Rekodi ya Sauti Sifa za Yehova Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Ufunuo 4:11) 1. Yehova Mungu, Mwenye Uwezo, Muumba wetu, mwenye enzi kuu. Uumbaji wakusifu wewe; Unaonyesha nguvu zako. 2. Hukumu zako zote za haki. Uadilifu, unatufundisha. Neno lako tunapolisoma, Hekima yako, twaiona. 3. Upendo wako, ni sifa kuu. Zawadi zako, hazina kifani. Jina lako, nazo sifa zako, Twazitangaza kwa furaha. (Ona pia Zab. 36:9; 145:6-13; Mhu. 3:14; Yak. 1:17.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Sifa za Yehova ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Sifa za Yehova(Wimbo Na. 1) Lugha ya Alama ya Tanzania Sifa za Yehova(Wimbo Na. 1) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016801/sign/wpub/1102016801_sign_sqr_xl.jpg sjj 1