WIMBO NA. 100 Wakaribisheni Chagua Rekodi ya Sauti Wakaribisheni Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Matendo 17:7) 1. Yehova huonyesha ukarimu. Ubaguzi hana, si mdhalimu Jua nayo mvua, hanyimi yeyote. Hutoa chakula kwa wote. Tuwafadhilipo watu wa chini, Twamwiga Yehova, Anathamini. Naye Baba yetu, atatufadhili, Kwa wema wetu na fadhili. 2. Hatuwezi kujua matokeo, Ya kutokuwa na upendeleo. Hata iwe kwamba, hatuwafahamu, Twawakaribisha kwa hamu. Nasi twawaambia, ‘karibuni! ’ Wajistareheshe bila huzuni. Mungu awajua wote wamwigao. Wawafadhilio wenzao. (Ona pia Mdo. 16:14, 15; Rom. 12:13; 1 Tim. 3:2; Ebr. 13:2; 1 Pet. 4:9.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Wakaribisheni ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Wakaribisheni (Wimbo Na. 100) Lugha ya Alama ya Tanzania Wakaribisheni (Wimbo Na. 100) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016900/sign/wpub/1102016900_sign_sqr_xl.jpg sjj 100