WIMBO NA. 101 Kufanya Kazi Pamoja kwa Umoja Chagua Rekodi ya Sauti Kufanya Kazi Pamoja kwa Umoja Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Waefeso 4:3) 1. Katika zizi la Mungu. Unabii watimia. Kuna amani, umoja, Na furaha tele. Twapenda umoja; Na upatano. Katika kazi ya Mungu, Kuna mengi ya kufanywa. Tutumikie pamoja, Tuwe na utii. 2. Tumwombe Yehova Mungu, Tuwe na akili moja; Upendo uongezeke; Tuwe na amani. Inaburudisha, Inapendeza. Na tuonyeshe undugu, Mungu atupe amani. Umoja wetu udumu, Tutumikiapo. (Ona pia Mika 2:12; Sef. 3:9; 1 Kor. 1:10.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kufanya Kazi Pamoja kwa Umoja ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Kufanya Kazi Pamoja kwa Umoja (Wimbo Na. 101) Lugha ya Alama ya Tanzania Kufanya Kazi Pamoja kwa Umoja (Wimbo Na. 101) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016901/sign/wpub/1102016901_sign_sqr_xl.jpg sjj 101