WIMBO NA. 106 Kusitawisha Sifa ya Upendo Chagua Rekodi ya Sauti Kusitawisha Sifa ya Upendo Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (1 Wakorintho 13:1-8) 1. Twasali kwa Yehova Mungu, Tusitawishe sifa zake. Zaidi ya yote upendo Unaotokana na roho. Vipawa vyetu vyote bure, Ikiwa hatuna upendo. Basi na tuwe na upendo; Na kumpendeza Yehova. 2. Upendo ni wenye fadhili. Huwafikiria wengine. Upendo hauna kinyongo, Bali husamehe wengine. Upendo hutusaidia, Kustahimili mambo yote. Huhimili mizigo yote. Upendo haushindwi kamwe. (Ona pia Yoh. 21:17; 1 Kor. 13:13; Gal. 6:2.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kusitawisha Sifa ya Upendo ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Kusitawisha Sifa ya Upendo (Wimbo Na. 106) Lugha ya Alama ya Tanzania Kusitawisha Sifa ya Upendo (Wimbo Na. 106) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016906/sign/wpub/1102016906_sign_sqr_xl.jpg sjj 106