WIMBO NA. 107 Mungu—Kielelezo cha Upendo Chagua Rekodi ya Sauti Mungu—Kielelezo cha Upendo Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (1 Yohana 4:19) 1. Yehova Mungu ni kielelezo. Mungu ni Upendo. Atuongoza kwa upendo wake. Tuonyeshe sifa zake. Alimtoa Yesu Mwana wake. Kwa dhambi zetu; tupate wokovu. Upendo huo—Hauna kifani! Mungu wetu, Mungu ni ’Pendo. 2. Tumwige Mungu, tuwe na upendo Kwa ndugu na dada. Tuwe tayari kuwasaidia, Wa zamani; wapya pia. Tuwaonyeshe upendo mwororo. Tusibague huyu au yule. Tuwasamehe watukoseapo. Tuwapende; tupende wote. 3. Kupenda Mungu kunatuchochea, Daima; Milele. Yehova Mungu anatuhimiza: ‘Onjeni na Mwone kweli’ Twaunganishwa na upendo wake, Neno la Mungu linatusafisha. Na roho yake inatuchochea. Mungu wetu, Mungu ni ’Pendo. (Ona pia Rom. 12:10; Efe. 4:3; 2 Pet. 1:7.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Mungu—Kielelezo cha Upendo ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Mungu—Kielelezo cha Upendo (Wimbo Na. 107) Lugha ya Alama ya Tanzania Mungu—Kielelezo cha Upendo (Wimbo Na. 107) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016907/sign/wpub/1102016907_sign_sqr_xl.jpg sjj 107