WIMBO NA. 112 Yehova, Mungu wa Amani Chagua Rekodi ya Sauti Yehova, Mungu wa Amani Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Wafilipi 4:9) 1. Mungu wa upendo, Yehova Mungu wetu, Twakuomba roho yako, Tukuze sifa zako. Ulitununua, Kwa damu ya Mwanao. Twaomba utukubali Tupe amani Yako. 2. Roho yako wewe, Yatupa ufahamu. Twaongozwa na kulindwa Katika ulimwengu. Tunatazamia Mwisho wa matatizo. Tupe roho takatifu, Tuishi kwa amani. 3. Umewakusanya Wale uwapendao. Tumependelewa sana, Kukuabudu wewe. Utawala wako, Utaleta baraka. Kisha watumishi wako, Waishi kwa amani. (Ona pia Zab. 4:8; Flp. 4:6, 7; 1 The. 5:23.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Yehova, Mungu wa Amani ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Yehova, Mungu wa Amani (Wimbo Na. 112) Lugha ya Alama ya Tanzania Yehova, Mungu wa Amani (Wimbo Na. 112) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016912/sign/wpub/1102016912_sign_sqr_xl.jpg sjj 112