WIMBO NA. 119 Lazima Tuwe na Imani Chagua Rekodi ya Sauti Lazima Tuwe na Imani Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Waebrania 10:38, 39) 1. Kale Yehova Mungu kasema, Kupitia manabii. Leo kupitia Mwana wake, Anasema: ‘Tubuni! ’ (KORASI) Je, tuna imani kweli? Ni lazima tuijenge. Je, ni ya matendo kweli? Imani iokoayo nafsi. 2. Amri ya Yesu Kristo twatii, Ufalme tunatangaza. Tuutangaze ujumbe wake Utakaotimizwa. (KORASI) Je, tuna imani kweli? Ni lazima tuijenge. Je, ni ya matendo kweli? Imani iokoayo nafsi. 3. Tuna imani nayo ni ngao; Kamwe hatutaogopa. Tunavumilia tukijua, Wokovu u karibu. (KORASI) Je, tuna imani kweli? Ni lazima tuijenge. Je, ni ya matendo kweli? Imani iokoayo nafsi. (Ona pia Rom. 10:10; Efe. 3:12; Ebr. 11:6; 1 Yoh. 5:4.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Lazima Tuwe na Imani ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Lazima Tuwe na Imani (Wimbo Na. 119) Lugha ya Alama ya Tanzania Lazima Tuwe na Imani (Wimbo Na. 119) https://assetsnffrgf-a.akamaihd.net/assets/ct/e781f8601f/images/syn_placeholder_sqr.png sjj 119