WIMBO NA. 122 Iweni Imara, Thabiti! Chagua Rekodi ya Sauti Iweni Imara, Thabiti! Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (1 Wakorintho 15:58) 1. Mataifa yana wasiwasi, Mambo yanabadilika kasi. Na tuwe thabiti na imara, Tutende kwa busara. (KORASI) Imara tusimame; Nyuma tusitazame. Kwa utimilifu, Mungu tumsifu. 2. Mitego ya mfumo yazidi. Tutashinda tukijitahidi. Yaliyo kweli tukifuata, Ulinzi tutapata. (KORASI) Imara tusimame; Nyuma tusitazame. Kwa utimilifu, Mungu tumsifu. 3. Ibada iwe ya moyo wote. Tusilaumiwe kwa lolote. Habari njema na tueneze. Mungu tumpendeze. (KORASI) Imara tusimame; Nyuma tusitazame. Kwa utimilifu, Mungu tumsifu. (Ona pia Luka 21:9; 1 Pet. 4:7.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Iweni Imara, Thabiti! ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Iweni Imara, Thabiti! (Wimbo Na. 122) Lugha ya Alama ya Tanzania Iweni Imara, Thabiti! (Wimbo Na. 122) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016922/sign/wpub/1102016922_sign_sqr_xl.jpg sjj 122