WIMBO NA. 128 Kuvumilia Mpaka Mwisho Chagua Rekodi ya Sauti Kuvumilia Mpaka Mwisho Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Mathayo 24:13) 1. Kwa kuwa tuna ahadi, Piga moyo konde. Mambo uliyojifunza, Ni kweli na hakika. Uwe imara katika Imani takatifu. Dumisha utimilifu; Unapojaribiwa. 2. Usipoteze upendo Wako wa mwanzoni. Licha ya kujaribiwa, Uvumilie yote. Hata nini kikupate, Usiogope kamwe. Yehova atakulinda, Yuko karibu nawe. 3. Watakaovumilia Wataokolewa. Majina yako katika Kitabu cha uzima. Basi na tuazimie Kuitimiza kazi., Ndipo tupate kibali, Chake Yehova Mungu. (Ona pia Ebr. 6:19; Yak. 1:4; 2 Pet. 3:12; Ufu. 2:4.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kuvumilia Mpaka Mwisho ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Kuvumilia Mpaka Mwisho (Wimbo Na. 128) Lugha ya Alama ya Tanzania Kuvumilia Mpaka Mwisho (Wimbo Na. 128) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016928/sign/wpub/1102016928_sign_sqr_xl.jpg sjj 128