WIMBO NA. 129 Tutaendelea Kuvumilia Chagua Rekodi ya Sauti Tutaendelea Kuvumilia Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Mathayo 24:13) 1. Tunawezaje kuvumilia mikazo? Yesu katuwekea mfano mzuri. Ahadi za Mungu, alitafakari. (KORASI) Basi tuvumilie. Tulinde imani. Kwa kuwa Atupenda, Tutavumilia hadi mwisho. 2. Japo maisha yamejawa na uchungu; Twatafakari, Mfumo mpya wa Mungu. Tuwepo, tuone. Tumeazimia. (KORASI) Basi tuvumilie. Tulinde imani. Kwa kuwa Atupenda, Tutavumilia hadi mwisho. 3. Hatufi moyo Wala hatutaogopa. Tutumikie hadi mwisho ufikapo. Tuzidi kudumu, Mwisho u karibu. (KORASI) Basi tuvumilie. Tulinde imani. Kwa kuwa Atupenda, Tutavumilia hadi mwisho. (Ona pia Mdo. 20:19, 20; Yak. 1:12; 1 Pet. 4:12-14.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Tutaendelea Kuvumilia ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Tutaendelea Kuvumilia (Wimbo Na. 129) Lugha ya Alama ya Tanzania Tutaendelea Kuvumilia (Wimbo Na. 129) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016929/sign/wpub/1102016929_sign_sqr_xl.jpg sjj 129