WIMBO NA. 130 Uwe Mwenye Kusamehe Chagua Rekodi ya Sauti Uwe Mwenye Kusamehe Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Zaburi 86:5) 1. Kwa upendo Mungu, Kapanga Mwana afe. Dhambi ziweze kufutwa, Kifo kiondolewe. Tukitubu kweli kweli, Tunaweza kumwomba, Kwa msingi wa fidia, Aliyotoa Kristo. 2. Twapata rehema, Tukimwiga Yehova. Tukisamehe wengine, Kwa upendo, huruma. Tukiepuka kinyongo, Tukivumiliana; Tukiwaheshimu ndugu, Tukiwa na upendo. 3. Sote tunapaswa, Kuonyesha rehema. Itaondoa kinyongo, Na uchungu wa chuki. Tukitenda kama Mungu, Apendaye zaidi, Tutasamehe kikweli; Na kumwiga Yehova. (Ona pia Mt. 6:12; Efe. 4:32; Kol. 3:13.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Uwe Mwenye Kusamehe ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Uwe Mwenye Kusamehe (Wimbo Na. 130) Lugha ya Alama ya Tanzania Uwe Mwenye Kusamehe (Wimbo Na. 130) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016930/sign/wpub/1102016930_sign_sqr_xl.jpg sjj 130