WIMBO NA. 136 Malipo Kamili Kutoka kwa Yehova Chagua Rekodi ya Sauti Malipo Kamili Kutoka kwa Yehova Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Ruthu 2:12) 1. Yehova ni mwaminifu, ajua, Kuna nyakati ambazo, Watumishi wake hupata shida, Ilitabiriwa kale. Ikiwa umeacha familia, Makao au rafiki, Utapata ndugu na dada sasa Na uzima wa milele. (KORASI) Yehova na akuthawabishe. Malipo kamili na akupe. Kimbilio upate kwake. Yehova kwa kweli; ni mwaminifu. 2. Nyakati nyingine tunalemewa, Au kuvunjika moyo. Nyakati nyingine yaonekana Kuwa hatuna uwezo. Mungu wa faraja yote Yehova, Husikia sala zetu. Tujapolemewa, Yehova Mungu, Hutuimarisha sana. (KORASI) Yehova na akuthawabishe. Malipo kamili na akupe. Kimbilio upate kwake. Yehova kwa kweli; ni mwaminifu. (Ona pia Amu. 11:38-40; Isa. 41:10.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Malipo Kamili Kutoka kwa Yehova ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ “Malipo Kamili Kutoka kwa Yehova” (Wimbo Na. 136) Lugha ya Alama ya Tanzania “Malipo Kamili Kutoka kwa Yehova” (Wimbo Na. 136) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016936/sign/wpub/1102016936_sign_sqr_xl.jpg sjj 136