WIMBO NA. 138 Kichwa Chenye Mvi—Taji la Uzuri Chagua Rekodi ya Sauti Kichwa Chenye Mvi—Taji la Uzuri Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Methali 16:31) 1. Twawaona wazee, Pamoja nasi. Wanaovumilia; Waaminifu. Nguvu wamepoteza, Ama kufiwa. Baba, tunakuomba, Uwakumbuke (KORASI) Baba, ikumbuke, Imani yao. Uwategemeze; Uwapongeze! 2. Waadilifu wako Wanapendeza, Mbele zako Yehova. Nasi twajua, Zamani walikuwa, Wenye bidii, Walipotumikia, Kwa nguvu zote. (KORASI) Baba, ikumbuke, Imani yao. Uwategemeze; Uwapongeze! (Ona pia Zab. 71:9, 18; Met. 20:29; Mt. 25:21, 23; Luka 22:28; 1 Tim. 5:1.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kichwa Chenye Mvi—Taji la Uzuri ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Kichwa Chenye Mvi—Taji la Uzuri (Wimbo Na. 138) Lugha ya Alama ya Tanzania Kichwa Chenye Mvi—Taji la Uzuri (Wimbo Na. 138) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016938/sign/wpub/1102016938_sign_sqr_xl.jpg sjj 138