WIMBO NA. 139 Wazia Wakati Vitu Vyote Vitakuwa Vipya Chagua Rekodi ya Sauti Wazia Wakati Vitu Vyote Vitakuwa Vipya Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Ufunuo 21:1-5) 1. Hebu waza, mimi nawe; Sote katika dunia mpya. Fikiria Paradiso, Amani na uhuru tele, Na uovu wote kwisha. Utawala wake Yehova, Utaitawala dunia yote. Kwa moyo wote sote tutamwimbia: (KORASI) “Yehova Mungu twakushukuru. Umefanya vyote viwe vipya. Tunachochewa na ukarimu wako; Wastahili heshima na utukufu.” 2. Hebu waza, mimi nawe; Tukiwa katika Paradiso. Tuonayo, kusikia Hayatatutia uoga. Yote kweli, katabiri; Hema lake kalitandaza, Afufue walio kaburini; Tumwimbie Yehova sifa pamoja: (KORASI) “Yehova Mungu twakushukuru. Umefanya vyote viwe vipya. Tunachochewa na ukarimu wako; Wastahili heshima na utukufu.” (Ona pia Zab. 37:10, 11; Isa. 65:17; Yoh. 5:28; 2 Pet. 3:13.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Wazia Wakati Vitu Vyote Vitakuwa Vipya ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Wazia Wakati Vitu Vyote Vitakuwa Vipya (Wimbo Na. 139) Lugha ya Alama ya Tanzania Wazia Wakati Vitu Vyote Vitakuwa Vipya (Wimbo Na. 139) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016939/sign/wpub/1102016939_sign_sqr_xl.jpg sjj 139