WIMBO NA. 14 Kumsifu Mfalme Mpya wa Dunia Chagua Rekodi ya Sauti Kumsifu Mfalme Mpya wa Dunia Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Zaburi 2:12) 1. Kuna umati wa watu, toka kila taifa. Unakusanywa na Kristo na kutaniko lake. Ufalme umezaliwa; Hivi punde utaanza Kutawala dunia yetu, Faraja tupate sote. (KORASI) Msifuni Mungu wetu Yehova; Msifuni Kristo Mwana wake. Twakubali utawala wake. Na kumsifu Kristo. 2. Kwa nderemo na vifijo, Tunamsifu Kristo. Twatazamia kwa hamu: Dunia Paradiso. Awafufuapo wafu, Pindi ya kushangilia! Hatutaogopa lolote, Anapotawala Kristo. (KORASI) Msifuni Mungu wetu Yehova; Msifuni Kristo Mwana wake. Twakubali utawala wake. Na kumsifu Kristo. (Ona pia Zab. 2:6; 45:1; Isa. 9:6; Yoh. 6:40) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kumsifu Mfalme Mpya wa Dunia ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Kumsifu Mfalme Mpya wa Dunia (Wimbo Na. 14) Lugha ya Alama ya Tanzania Kumsifu Mfalme Mpya wa Dunia (Wimbo Na. 14) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016814/sign/wpub/1102016814_sign_sqr_xl.jpg sjj 14