WIMBO NA. 147 Uzima wa Milele Umeahidiwa Chagua Rekodi ya Sauti Uzima wa Milele Umeahidiwa Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Zaburi 37:29) 1. Mungu ametuahidi, Uzima wa milele. Wapole watairithi, Dunia milele. (KORASI) Inawezekana, Kuishi milele. Ahadi za Mungu, Zitatimia. 2. Paradiso duniani, Kukiwa na uhuru. Mungu atatuongoza, Tuwe na amani. (KORASI) Inawezekana, Kuishi milele. Ahadi za Mungu, Zitatimia. 3. Wafu watafufuliwa, Kusiwe na huzuni. Wakati Yehova Mungu, Atafuta chozi. (KORASI) Inawezekana, Kuishi milele. Ahadi za Mungu, Zitatimia. (Ona pia Isa. 25:8; Luka 23:43; Yoh. 11:25; Ufu. 21:4.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Uzima wa Milele Umeahidiwa ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Uzima wa Milele Umeahidiwa (Wimbo Na. 147) Lugha ya Alama ya Tanzania Uzima wa Milele Umeahidiwa (Wimbo Na. 147) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016947/sign/wpub/1102016947_sign_sqr_xl.jpg sjj 147