WIMBO NA. 148 Yehova Huokoa Chagua Rekodi ya Sauti Yehova Huokoa Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (2 Samweli 22:1-8) 1. Yehova Mungu wetu uliye hai. Kazi zako kuu, mbingu na dunia. Ndiwe Mungu pekee, Mweza-yote —milele. Wakujue wewe. (KORASI) Yehova huokoa wa’minifu. Wamwone kuwa Mungu wa nguvu nyingi. Kwa bidii na ujasiri sisi sote, Twatangaza jina kuu lake Yehova. 2. Japo kuna kifo, nakutegemea, “Yehova unipe, ujasiri, nguvu.” Toka hekalu lako, usikie, ‘Nifiche, Niokoe, Mungu.’ (KORASI) Yehova huokoa wa’minifu. Wamwone kuwa Mungu wa nguvu nyingi. Kwa bidii na ujasiri sisi sote, Twatangaza jina kuu lake Yehova. 3. Utakaponguruma kutoka juu. Maadui wako, waingiwe hofu. Wakutumikiao, wafurahi. Wajue U Mwokozi wetu. (KORASI) Yehova huokoa wa’minifu. Wamwone kuwa Mungu wa nguvu nyingi. Kwa bidii na ujasiri sisi sote, Twatangaza jina kuu lake Yehova. (Ona pia Zab. 18:1, 2; 144:1, 2.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Yehova Huokoa ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Yehova Huokoa (Wimbo Na. 148) Lugha ya Alama ya Tanzania Yehova Huokoa (Wimbo Na. 148) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016948/sign/wpub/1102016948_sign_sqr_xl.jpg sjj 148