WIMBO NA. 150 Mtafute Mungu Upate Ukombozi Chagua Rekodi ya Sauti Mtafute Mungu Upate Ukombozi Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Sefania 2:3) 1. Mataifa yote, Yanampinga Kristo. Muda wao umekwisha. Mungu ameagiza. Siku zao kwisha; Ufalme utadumu. Kristo ataponda adui. Hatakawia kamwe. (KORASI) Mtafuteni Yehova, Mtegemeeni Yeye. Utafuteni, Uadilifu. Tegemeza enzi yake. Mungu atakukomboa, Kwa nguvu zake. 2. Twapa wote fursa, Ya kusikia Neno. Waamue wapendavyo, Uchaguzi ni wao. Japo majaribu, Hatuogopi kamwe. Mungu husikia maombi, Ya watumishi wake. (KORASI) Mtafuteni Yehova, Mtegemeeni Yeye. Utafuteni, Uadilifu. Tegemeza enzi yake. Mungu atakukomboa, Kwa nguvu zake. (Ona pia 1 Sam. 2:9; Zab. 2:2, 3, 9; Met. 2:8; Mt. 6:33.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Mtafute Mungu Upate Ukombozi ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Mtafute Mungu Upate Ukombozi (Wimbo Na. 150) Lugha ya Alama ya Tanzania Mtafute Mungu Upate Ukombozi (Wimbo Na. 150) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016950/sign/wpub/1102016950_sign_sqr_xl.jpg sjj 150