WIMBO NA. 21 Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme Chagua Rekodi ya Sauti Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Mathayo 6:33) 1. Ufalme wa Kristo Yesu, Utakaotawala, Ni wenye thamani sana, Mbele zake Yehova. (KORASI) Tafuta Ufalme kwanza, Pia uadilifu. Mwimbieni Mungu sifa, Na kumtumikia. 2. Msihangaishwe sana, Na chakula, mavazi. Mungu ataturuzuku, Tukiutanguliza. (KORASI) Tafuta Ufalme kwanza, Pia uadilifu. Mwimbieni Mungu sifa, Na kumtumikia. 3. Ufalme utangazeni; Saidieni watu, Wamtumaini Mungu, Na utawala wake. (KORASI) Tafuta Ufalme kwanza, Pia uadilifu. Mwimbieni Mungu sifa, Na kumtumikia. (Ona pia Zab. 27:14; Mt. 6:34; 10:11, 13; 1 Pet. 1:21.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme (Wimbo Na. 21) Lugha ya Alama ya Tanzania Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme (Wimbo Na. 21) https://assetsnffrgf-a.akamaihd.net/assets/ct/e781f8601f/images/syn_placeholder_sqr.png sjj 21