WIMBO NA. 23 Yehova Aanza Kutawala Chagua Rekodi ya Sauti Yehova Aanza Kutawala Samahani, programu ya kupakia faili hiyo imeshindwa kupakia. Pakua Video Hii Onyesha Kama Maandishi Ficha Aina ya Maandishi (Ufunuo 11:15) 1. Ufalme watawala, Toka juu mbinguni. Kristo anatawala Sayuni. Wote washangilie. Yehova wamwimbie. Bwana Kristo Ameanza kutawala. (KORASI) Utaleta nini Ufalme? Kweli haki zitashinda. Utaleta nini kingine? Uzima na shangwe tele. Sifu Mwenye Enzi Kuu, Kwa fadhili-upendo. 2. Kristo anatawala, Har–Magedoni yaja. Mfumo wa Shetani ukome. Sasa ndio wakati Wa kuhubiri kote. Wapole wamtii Yehova Mungu. (KORASI) Utaleta nini Ufalme? Kweli haki zitashinda. Utaleta nini kingine? Uzima na shangwe tele. Sifu Mwenye Enzi Kuu, Kwa fadhili-upendo. 3. Mfalme wa Yehova; Mwenye fahari kubwa. Kwa jina la Mungu anakuja. Ingia malangoni mwa hekalu tukufu, Hivi punde Vyote atavitawala. (KORASI) Utaleta nini Ufalme? Kweli haki zitashinda. Utaleta nini kingine? Uzima na shangwe tele. Sifu Mwenye Enzi Kuu, Kwa fadhili-upendo. (Ona pia 2 Sam. 7:22; Dan. 2:44; Ufu. 7:15.) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Yehova Aanza Kutawala ‘MWIMBIENI YEHOVA KWA SHANGWE’ Yehova Aanza Kutawala (Wimbo Na. 23) Lugha ya Alama ya Tanzania Yehova Aanza Kutawala (Wimbo Na. 23) https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/1102016823/sign/wpub/1102016823_sign_sqr_xl.jpg sjj 23